Wakuu nataka kueleweshwa kiasi gani wakazi wa Kiromo, Bagamoyo wanapaswa kulipwa ardhi yao iliyochukuliwa kwa matumizi ya SEZ projects. Eneo hili liko kwenye earmarked ya SEZ (Just behind Kiromo...
SERIKALI YA MUNGU MTU INA CHAKUJIFUNZA HAPA"
Aliyekuwa mfungwa wa kisiasa nchini Gambia Ndg.Amadou Sanneh, mwenye umri wa miaka 72 ameteuliwa wa wa Waziri wa fedha, ikiwa ni siku 3 tu baada ya...
Habar ya asubuhi ndg zangu, leo ninaomba mnipe msaada wa wazo la biashara ambayobnikiifanya hapa mjini dar es salam nitafakiwa , nahitaj kufanya biashara pia naomba kufahamishwa jinsi ya...
Kama una biashara iliyosajiliwa na unadhani unahitaji soko la Marekani basi jaribu kutangaza kwenye local Television ya Marekani inayowafikia zaidi ya wakazi milioni 1 au makazi zaidi ya elfu 50...
January 17, 2017
Umuhimu wa Vifungashio vya bidhaa /Packaging n Labelling
Tumieni pesa na ubunifu ili kuvutia biashara yako kitaifa na kimataifa. Sikiliza somo hili ili bidhaa yako ionekane...
Habari za leo Wakuu!
Kwanza tujipepongeze kwa kuuvuka January! Loh! Mwezi mrefu huu, ila binafsi nahisi 2016 ilikuwa ngumu mpaka naona January ilikuwa continuation tu! Sasa ndio tumeingia 2017...
Kama mnavosikia wakuu mabilioni yanamwagika huko na hali inavoonekana yataendelea kumwagika.
Sasa kwa watu wanaowekeza haifai kwenda kufungua biashara huko.Mambo ya kawaida tu kama Maduka...
Habarini ndugu zangu...
Nna wazo moja la kijasiriamali ambalo litawanufaisha wahutimu wote waliomaliza kozi za ualimu. Kwann wasiungane kikundi kidogo cha wahitimu wakautengeneza App yao ya...
Tanzania is looking to raise $46.9 billion to finance its second industrialisation plan, which will see it increase its development spending to $27.66 billion. This is part of its plans to become...
Mshahara wangu kwa mwezi ni 350,000. Naomba mnipangie matumizi ili pesa hiyo ikidhi mahitaji kwa mwezi mzima.
NB: Nina mke sijabahatika mtoto mpaka sasa.
Nauli ya kwenda kazini 2800 kwa siku.
Wakuu wasalaam,
Kwa heshima na taadhima naomba kwa mwenye kufahamu ratiba ya boti kutoka unguja kwenda pemba kwa kesho tar: 02/02/2017 ntashukuru sana atakayenipa msaada huo ni muhimu mno....
Photographer: Akos Stiller/Bloomberg
Acacia Jumps in London on Talks for $4 Billion Endeavour Merger
by
Thomas Biesheuvel
,
Dinesh Nair
, and
Scott Deveau
16. Januar 2017, 09:57 MEZ
Company...
heshima kwenu wakuu...wakuu ninawezaje kuitumia laptop kama chanzo cha kuniongezea kipato..maana huwa ninakua na free time ambayo naitumia kufanya mambo yasiyo na tija yoyote kwangu....naombeni...
Tanzania imepata nafasi ya kipekee kuwakilishwa na ndugu Julius J. Julius, Mkurugenzi Wa (www.clickncart.co) katika mashindano ya Ujasiriamali Afrika.
Mashindano haya ambayo Ndugu Julius pekee...
Jamani habari mana jf
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha kikatoliki mwenge kilichoppo Moshi nina chukua education (economics and geography). Kwanza kabisa mwaka wa 2014 nilikuwa UDOM...
Benki nchini zaimarika 2016
Katika robo ya tatu ya mwaka 2016, Benki ya CRDB inayohudumia zaidi ya robo ya wateja wote wa sekta hiyo ilitangaza kupata hasara ya takribani Sh2 bilioni huku...