I currently sell Bitcoin in Kenya and Tanzania.
Buy and sell Bitcoins safe and secure
But I sometimes get more money in Tanzania. But I need more money in Kenya
So I am offering people my...
Have you ever wondered why you are doing all the work on facebook, Instagram and other social media but you dont get paid?
Steemit is an open-source, community-based website that pays you for...
BITCOINS ni coin inayozidi kukua ulimwenguni kwa kasi kubwa sana, BITCOINS ni coins isiyoshikika kama pesa nyingine (Digital currency) ila inauwezo wakufanya kazi kama pesa nyingine ulimwenguni...
Naomba msaada Wa anaye jua ishu za kulipa makadirio TRA: MTU kafungua kampuni mwezi August, 2016: akakadiriwa mwezi sept alipe sh 500,000. Kufikia DEC 31: Sasa hajafanya chochote kibiashara, hata...
Nianze kwa kusema tu kuwa sio vinyozi wote
Utakuta emeenda kunyoa huu kinyozi amesha kufunga kitambaa kwa ajili kuzuia kuchafuliwa na nywele amesha Washa mashine mara sim yake inaita badala...
Wana Jf.
Naomba Kufahamishwa:
hali Ya Hewa Ya Uyui,
@aina Za Mazao Zinazoweza Kulimwa
fursa Zingine Ukiacha Kilimo
HATA Historia Ya Wilaya,
changamoto Zilizopo:kibiashara,kiuchumi,maji Na N.K!
NB...
Kutana na mabigwa wa kufunga electric fence utaandaliwa quatation bure na tutakuja kukutembelea kwenye site yako bure kabsaaaaaa hii ni ofa ya muda mfupi tunapatikana kariakoo mtaa wa livingstone...
Bakhresa- 1st Kazi ya kwanza: Meno ya Tembo/Uwindaji wa Tembo na wanyama wengine na siyo Restaurant
Kazi ya pili baada ya kupata pesa ya meno ya tembo: Fungua maduka Kariakoo/...
Wakuu heri ya mwaka mpya. Jamani kuna jambo linanishinda Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kusafirisha bidhaa nje ya nchi (siyo chakula). Sasa kuna hii ishu ya shipping kusafirisha mizigo na...
Habari za kazi wana Jf,
Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kutufikisha mwaka huu mpya wa 2017, pia tuzidi kufanya maombi ili tuweze kuishi miaka mingi na kheri Duniani
Mwaka huu...
Watanzania, napenda kufahamu kuhusu hii biashara ya mabango makubwa kwa ajili ya kutangaza biashara za makampuni mbalimbali. Na, nina interest zaidi na mabango ya ki elekroniki, au niseme ambayo...
Habarini Wadau Wa Jukwaa Hili,
- Mimi Ninavutiwa Sana Haya Masuala Ya Fashion - Sasa Nimefikiria Kuanza Mradi Wangu Rasmi Wa Mavazi Kama Nilivzotaja Hapo Juu, Naomba Mwenye Kujua Abc Za Haya...
Juzi mtalaamu wa Uchumi na Mwenyekiti wa CUF Prof. I.Lipumba alitoa darsa la uchumi na jinsi gani Tanzania inaweza kutoka hapa tulipo kutokana na sera mbovu za CCM. Lakini mi japo sio mchumi...
Hakika nimeshtushwa Na tangazo la Ewura kukubali ombi la Tanesco kupandisha bei ya Umeme Kwa Asilimia 8.5 .Watanzania nadhani mtakubaliana nami kuwa Waziri wa Nishati Na Madini Mh.Sospeter...
Hbr wadau?
Mimi nimeajiriwa nina mshahara wa 570,000. ni mwaka wa tatu sasa tangu nianze kazi lakin sioni mafanikio yoyote zaidi ya kulipa kodi, kununua chakula na kumhudumia kidogo mke wng...