Je gharama ya Tin number na leseni ya biashara ya m-pesa na Tigo pesa ikoje?
Ukipeleka TIN number na lesen je unapata hizo line za mpesa na Tigo pesa kwa muda gan?
Kampuni ya Vodacom ipo mbioni kuanza kuuza hisa za awali (IPO) kwenye soko la hisa la Dar es salaam (DSE) zenye samani ya Tshs. 500 billioni mapema mwakani.
Kutokana rekodi ya kibiashara huko...
Naonaga watu wanahangaika mno na ujasiriamali
mara semina ya wapi sijui
mara wajaribu biashara hii na ile
lakini watu hao wengi wana tabia ambazo zinawafanya wasifanikiwe
hata wafanyaje...
hizi...
Hello team, nahitaji kufanya biashara ya ununuzi wa choroko so ningependa kujua hasa msimu wa mavuno unaanza lini na ni mikoa ipi hasa choroko upatikana kwa wingi ili nianze kujipanga mapema...
Nataka nifanye biashara ya viatu, kwa eneo niopo. Nahitaji M5 kama mtaji. Mwenye wazo au ushauri namna ya kupata hii hela tafadhali nahitaji sana ushauri au maoni yako au kama kunamtu ajaeweza...
Wakuu,
Mimi ni kijana wa kiume ambaye ninasoma chuo hapa DSM.
Shida yangu ni kuwa nahitaji kujua ni mashirika gani au ni wapi naweza pata udhamino wa mkopo mkopo wenye riba nafuu ili niweze...
Nafikiri kuanza biashara itakayohusisha kununua kuku toka kwa wafugaji, kuwachinja, kuhifadhi nyama kwenye freezer, na kusambaza kwa wateja hasa migahawani, kwa wachoma chips na mahotelini kama...
WAKUU mwenye ufahamu kuhusu madini haya, naomba unipe mwangaza katika haya
1. soko lake liko wapi? ntapata wapi soko?
2. kama unamfahamu mnunuzi mkubwa?
Tafadhari nahitaji msaada wenu wakuu
Habar zenu wanajamvi,natumai mko wazima.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo katika mishe zangu nimeweza kufanikiwa kupata faida ya sh 1.5m,nikaona nitumie hii hela kununua mashamba ya miti ya mbao huku...
Naombeni ushauri wenu wanajamvi.
Nataka kuprint calendar za 2017. Kati ya picha nazotaka kutumia ni pamoja na ya Rais Magufuli.
Je, hii italipa? Je ni lazima nimuombe JPM kuwa nitatumia picha...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!
Leo nimekaa imenibidi niseme, sababu nipo kikazi as advocate of gender equality and enforcer of women rights i was waiting all this time TAMWA, TAWLA...
Heshima kwenu wakuu,
Aisee hii hali mbaya ya kiuchumi imenifanya nifungue kaduka kangu mtaani, sasa TIN nimeshapata nilikuwa na leseni nikaenda TRA wakanibadilishia ikawa ya BUSINESS.
Sasa wakuu...
Hebu wazoefu wa haya mambo watueleweshe.
Hivi kweli kuna makampuni ya kimataifa yanayoweza kutoa mikopo kwa raia yeyote wa nchi nyingine kama hili hapa chini? Sasa najiuliza hata kama wanaweza...
Salam naomba kujua kama kuna PDF, au book yenye kuonyesha category ya kila bidhaa ushuru wake hasa bidhaa za Kilimo na usafiri mfano powetila,zana za Kilimo, engine giabox,cabin,na spare za...
Hbr wanajamvi ningependa kufahamu kutoka kwenu wanajamvi kuhusiana na hii taasisi inayoitwa baypot kuhusu utoaji wao wa mkopo baada ya kukamilisha vigezo vyote mikopo yao inachukuwa siku ngapi...
Mamlaka ya usafiri wa majini na nchi kavu inajiandaa kuleta hoja kwa wadau kuwa umri wa wanaoongoza vyombo vya usafiri wa umma kwa nchi kavu(magari ya abiria) na majini(meli/boti za abiria) uwe...
Waziri Prof. makame Mbarawa akiongea na waandishi wa habari
SERIKALI inazikumbusha taasisi zote zenye leseni za mawasiliano zilizotolewa kabla ya Julai mosi mwaka huu, kujisajili katika soko la...
Jambo la kwanza kumbuka kwamba hakuna mtu anayejali mambo / maisha yako zaidi ya wewe mwenyewe! Na kila mtu ana muda sawa na mwingine, kwa siku kila mtu amepewa masaa 24 tu. Anza kwa kuzingatia...
Nikiwa zangu nimepumzika muda huu na uchovu wa pilikapilika za hapa na pale ili nipate tonge kusogeza siku,basi nimewasha tv nakutana na mtangazaji ana wahoji wafanyabiashara nini maana ya kodi na...