Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wanajamii naombeni mnifahamishe format ya kuandaa mkataba wa makabidhiano(official)
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Nataka kuanzisha bakery January, but Cjui process Za "TFDA" kunitambua, Msaada please anayejua process,????
1 Reactions
6 Replies
2K Views
“BADALA ya kukaa nyumbani bila kazi tukisubiri waume zetu wahangaike na kutuletea, sasa tunaweza kujiajiri wenyewe kupitia kilimo cha uyoga,” ndivyo anavyoanza kueleza Sophia Chove, mwenyekiti wa...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Juzi waziri alituambia hapa Dangote kafunga kiwanda kwa sababu alitaka gas ya bureee na sisi kamwe hatumpi ng'oo Lakini kumbe jamaa wakati huo huo analeta malori 600 na yeye yuko peace tu... Sasa...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
http://jamiiforums.com/?refcode=41602
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NAOMBA MNISAIDIE UFAFANUZI HUENDA LABDA SIELEWI HAYA MAMBO.NINA KIBIASHARA CHANGU NILIFUNGUA ILI NIWEZE KUJIKIMU NA NISIPIGE DEAL TENA SASA ZILE FRAME ZINA MGOGO BAINA YA WAMILIKI TUNAJUA NA HUA...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
kila siku ninapotizama taarifa ya habari ITV. Katika habari za biashara na uchumi huwa naona wanaongelea kuhusu TAARIFA YA MIFUKO YA UTT AMIS. wana jf, naombeni mnieleweshe...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naona vocha zinatoweka taratibu mitaani
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa mimi nimeyatumia malengo hayo 17 na ku adopt baadh na nimederive innovative ideas for my 2017+ projects to start to implement. Lengo namba 9 ndiyo kipaombele kwakuwa nimechunguza fursa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari!! Nataka nianze biashara ya mchele toka Mbeya, naishi Dar Kimara. Research ndogo niloifanya wateja mahali nilipo wanataka mchele wa Mbeya, nitaanza kuuza rejareja kwanza. Msaada...
2 Reactions
36 Replies
9K Views
Hii biashara nimeifanya Mara moja wakati huo niliuza kwa 20000 per kg..ila nahisi kuna soko zuri lenye bei nzuri hapa Tanzania au east Africa. Naomba msaada wa yeyote anafahamu soko zuri la hizi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Natafuta Location ya kufngua strip and Gentleman club in Dar!.... Kuna mtu ana idea ya any great location?... Nilikuwa nafikiria mitaa ya pale downtown karibu na zamani Sheraton hotel/ jumba la...
0 Reactions
73 Replies
20K Views
habari Jf? Nipo biharamulo-Kagera naomba msaada wa namna ya kuanzisha biashara ya vifaa vya shule na ofisini. Naomba kujua bei za photokopi mashine, scaner, laminator machine na komputa ya mezani...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Hello! Nafikiria kuanza hii biashara ya asali kuifanyia good packing na kuuza hapa Tanzania na neighboring countries. Can someone tell me how is honey processed and the whole procedure. Mashine...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish This pair trended downwards on Monday and Tuesday, and then began to make...
0 Reactions
0 Replies
360 Views
Kwa wale wanaodeal na industrial minerals, limestone bora inapatikana hapa Tanga, mgodi una vibali na leseni zote. Ni pm kwa maelezo zaidi.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nataka ufafanuzi kutoka kwa majuzi wa jambo hili kiundani, maana yupo ndugu yangu kaniambia kakopa 5.5M, kwa miaka minne , atarudisha 8.4M. Yaani riba ya 2.9M. Sasa najiuliza hii si kama 50%ya...
3 Reactions
36 Replies
7K Views
Habari,kwanza kabisa Heri ya chrismas na mwaka mpya 2017 kwa wote.Kwa wale wenye kumiliki Website zilizosajiriwa au yeyote mwenye uelewa juu ya namna ya kusajiri website hapa tanzania naomba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Zikiwa zimebaki siku chache tuumalize mwaka 2016 na tuuanze mwaka mpya 2017 kuna mengi natajia kufanya ili kuinua kipato. 1. Biashara ya KUPAMBA MAARUSI/KUMBI, hapa sina experience kabisa hivyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa muda sasa nimekuwa nawaza biashara ya kufavya nikaona biashara ya dagaa inaweza kuwa nzuri kuchukua dagaa mwanza au bukoba unapereka congo na kule unaweza kuchukua vitenge na kuja nanyo huku...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…