Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kwa nini watu huanza bishara na kushindwa? Tukiangalia tafiti za hivi karibuni, Zinaonyesha kuwa wajasiriamali wengi wameshindwa kuziendeleza Bidhaa zao ambazo zimekuwa zikihitajika na...
2 Reactions
0 Replies
7K Views
Jamani mi nataka kuanzisha biashara kwa kutumia mashine Ile ya maxmalipo au selcom.. Sasa nipo kweny research.. Ipi inafaa Kat ya hzo maxmalipo au selcom.. In terms of camission.. Msaada Pl na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau kwa heshma na taadhima naombeni ushauri kuhusu biasha ya sim. 1.Nina mtaji wa 25,000,000 baada ya kulipia frem je naweza anza biashara ya kuuza sim reja reja na jumla? 2.Nini changamoto za...
3 Reactions
9 Replies
5K Views
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 19 “However, master traders tend to act differently than most humans. They look inward for direction. They are not afraid of taking risks, even...
0 Reactions
0 Replies
620 Views
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1131385/ ushauri wa ujasiriamali.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna watu wengine unajiuliza hivi tamaa zao zinaisha lini jamani. Huyu mheshimiwa sana ameshiriki mno kuimaliza ATCL na wenzake, mbaya zaidi ATCL aliondoka kwa aibu kubwa pale, akiwa na wenzake...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk.
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Habari wakuu naombeni msaada juu ya vitu vinavyotakiwa katika kuprint T-shirt pamoja na gharama ya kuvipata vifaa ,pamoja na changamoto zinazojitokeza kwa wale wazoefu WA hii biashara...
1 Reactions
2 Replies
6K Views
jamani siku hizi kumeibuka website nyingi zikisema MAKE MONEY ONLINE kuna ukweli wowote kuhusu iki kitu maana wanasema wanalipa kwa dola ukisoma matangazo habar n.k kuna mtu yoyote ambaye...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakurugenzi habari zenu! Nimekuwa nikishawishika kujaribu hiki kilimo lakini sijui ABCs za hii shughuli. Kwa ufupi mimi nina shamba langu halo liko Kasulu kando ya mto Ruchugi, shamba hili...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Udhibiti wa chakula na dawa hapa ndo mahali pake,usalama wa walaji upo mikononi mwao na viwanda vingi vidogo vimefungiwa kwa sababu ndogondogo za kiusalama kwa mlaji kama viwanda vya alizeti...
0 Reactions
0 Replies
609 Views
Natoa mikopo kwa watu binafsi wenye shida za dharula.uwe na bond yenye gharama sawa ama zaidi ya mkopo utakao. Maximum ni milioni 3.muda wa kurejesha ni kati ya mwezi mmoja na miezi mitatu. Riba...
0 Reactions
50 Replies
17K Views
Habari wana JF, Ningependa kuzijuwa fursa zakuwa na company, mfano company inayojiusisha na ufugaji wa kuku wa nyama na na kuku wa mayai. [emoji120] [emoji120]
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MFUMUKO wa Bei wa Taifa kwa mwezi Septemba, 2016 umepungua hadi asilimia 4.5 kutoka asilimia 4.9 ilivyokuwa mwezi Agosti 2016. Hayo yabebainishwa na Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za...
1 Reactions
2 Replies
661 Views
Habarini wana jamvi! Inshu ni kwamba nina frem yaani duka lililo sajiliwa kila kitu kwa maana leseni ya biashara pamoja na mapato TRA, sasa kuna jamaa amejenga kibanda kidogo pembeni yangu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hbari wakuu, nimekuwa na maawazo ya kuanzisha biashara ya kufyatua matofari na bidhaa nyingine zinazo zalishwa kwa kutumia simenti, nina vifaa vingi vya kufyatulia matofali. nina fahamu kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji msaada wa kujua vifuatavyo 1.Maana ya thamani ya fedha 2.Vipengele vinavoangaliwa kujua thaman ya pesa 3.Thamani ya fedha ya Tanzania 4.Tofauti ya fedha ya nchi ya africa mashariki na...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
REVELATION SECURITY SERVICES COMPANY tunatoa huduma za vifaa vya ulinzi na walinzi popote Tanzania..Karibuni kwa ulinzi wa majumbani, maofisini na hata sehemu zetu za biashara.Tumedhamiria kukupa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…