Ninaomba wataalamu wa uchumi na mambo ya fedha wanisaidie katika hili.
Nilibahatika kwenda Thailand mwaka jana na nilikuwa na kama USD 600 ambazo jamaa alinituma nimnunulie laptop.Nilifika katika...
Habar yenu wakuu, hali ya ku manage pesa sio nzuri sana kwa upande wangu, yano pesa ikikaa bank lazima nika withdraw..ni kweli naiotea kidogo katika side hustle, staki kuwekeza mshahara...naomba...
ESSENCE CONDULT LTD.
Kwa wale waliopo ndani na nje ya Tanzania wenye Nia ya kuanzisha makampuni na biashara ndogo na kubwa lakini hawajuj waanzie wapi essence consult ndio jibu lako.
Na wale...
Wasaalam wakuu,
Husika na title hapo juu. Kuna tafiti ndogo binafsi nafanya kuhusiana na supply and demand za kokoto nyeusi (black granite) za ujenzi.
Ningependa ushirikiano wenu kuhusu bei zake...
Taasisi ya TradeMark East Africa, TMEA, imeahidi kuisaidia Zanzibar, katika kukuza biashara na kuondoa vikwazo vya Biashara kwa bidhaa za Zanzibar, ili ziweze kuingia kwenye soko ya nchi za...
Habari zenu wadau
Wataalam wa uchumi naomba tusaidiane hapa
Tuambiane faida na hasara za kuwekeza pesa kwenye utt miccrofinance ikiwa kama tawi la utt
Ahsanteni sana
Za jioni ndugu jamaa na marafiki.
Naomben msaada wenu wakina.
Nina mtaji wa 250,000/= nataka kufanya biashara ya kahawa na nipo Dar es salaam. Kabla sijaanza ningependa kuuliza maswali...
Jamani mimi ninayeandika makala hii, ni mgeni humu Jamii forum, hii ni post yangu ya kwanza hivyo kama nitakuwa pengine nimekwenda kinyume na utaratibu, nadhani mtanisahihisha kwani badala ya...
Ninatafuta taarifa za vitu hivi kwani nimeamua kuwa mjasiliamali zaidi kuliko kufikiria ajira.
1. Hapa Tanzania ni wapi wanalima kwa wingi Vitunguu Saumu, Dengu na Ngano na bei pia kama...
An Accurate Friday Strategy for Forex and Binary Options
Revolutionize Your Trading Career
The purpose of this strategy is to show you how to trade most important fundamental figures that come...
Watu wengi wamekuwa wakiniuliza swali la napotaka kuanza kufanya Branding natakiwa nifanye kitu gani?, kitu cha kwanza ambacho ni msaada mkubwa kwako kwanza unatakiwa uijue Branding yenyewe ni...
katika majengo mengi ya viwanda huwa kunakuwa na vifaa kama feni vinafungwa juu ya paa ili kutoa hewa nje, naomba kujua vinaitwaje na upatikanaji wake pamoja na bei ikoje
Wapendwa poleni na hongereni kwa majukum....
Wadau naomba mnisaidie upatikanaji wa mashariti haya na gharama zake kwa mtaji wa million mbili(2M)
1. BARCODES YA BIDHAA
2. TRA RECIT
3. LESSEN...