Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Mm kijana niko.Arusha sina kazi ila niko tayari kutoa ushaur au wazo la kuendesha Au kuanzisha biashara Arusha ni mji wenye fursa nyingi ila sisi maskin atuna nyenzo hivyo niko tayar kufanya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi jamaa wa Nyanza bottles sifa zipi wanahitaj kwa mtu anayetaka kusupply soda as an agent for instance am in Serengeti and i wana be an agent then what i got to prepare also i need to knw much...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
hebu wataalamu wa uchumi waje watusaidie je dola itazidi kupanda au itashuka nataka kusevu baadae nije kuuza
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish The bias on this pair is precariously bullish. Price came down 120 pips on Friday, in the context of a weak uptrend. A...
0 Reactions
0 Replies
441 Views
Mimi ni mkulima toka dodoma. Nina nyanya lakini soko ni tatizo. kwa mwenye taarifa za soko msaada tafadhali 0629 046084
0 Reactions
24 Replies
10K Views
Naomba anayejua gharama za kusafirisha container yenye mzigo 1x20ft kutoka Dar mpaka mbeya na kutoka Dar mpaka Mwanza, mwenye kujua bei inayotumika kwa sasa anisaidie.
0 Reactions
1 Replies
936 Views
Heshima kwenu wakuu! Nina idea ya kufungua kampuni ambayo itakua ikifanya kazi Tanzania kote ambapo kilimo kinafanyika. Tatizo linalonikabili ni kukosa pesa, hivyo nakuja mbele yenu kuleta wazo...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaam wakuu wanaJF Mimi ni mwanafunzi katika chuo cha St Augustine kilichopo Muheza tanga ngazi ya cheti cha community health worker... nimekuja kwenu kuomba mtaji kwa ajili ya biashara ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ninaomba mawazo yenu kwa masuali yafuatayo . 1. Je mkoa gani kanda ya ziwa mzuli wa kuanzisha kiwanda cha ngozi za mifugo? 2. Je kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninataka mkopo wa haraka wa million 20 kwa kipindi cha mwezi mmoja mpaka 3.Ninataka kukopa FINCA ila sina Dhamana. Je riba kwa mwezi mmoja,miwili au mitatu kwa pesa hiyo itakuwa sh ngapi? Naomba...
0 Reactions
14 Replies
39K Views
TAPPING PROFITS WITH AN INTRADAY STRATEGY “As traders, we should never stop learning, because the markets are never going to stop teaching. Continuing to learn is a vital part of becoming a...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekutana na matangazo ya benki hii ya FINCA kwamba unaweza fungua account kwao na ukapewa interest ya 14% ukiwa ume diposit kuanzia 1 mil hadi mil 25, ukiwa juu ya hapo utapewa interst zaidi...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari wadau.naomba mtu anayefahamu utengenezaji wa chemichals za.chooni na tiles na sabuni za maji anicheck nahitaji sana kujua.au anipe maelekezo wapi wanfundisha kitaalamu kabisa.
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wakuu.. Tunauza na kukuletea kuku wa nyama popote ulipo Dsm na Pwani Kwa sh 6,000. Kuku ni wakubwa na fresh wenye uzito kuanzia 1.4kgs. NB tunauwezo wa kukuletea kuku mmoja hadi miambili...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau, Ningependa kufahamu gharama za kufulia nguo kwa jijini dar es salaam ni sh ngapi kwa: 1. Suruali 2. Shati 3. Pensi 3. tisheti 4. vest 5. koti 6. shuka Je, bei ipi itakuwa affodable...
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Habari za muda, Je, ni taasisi binafisi zipi za kuaminika za kupata mikopo nchini ambazo unazifahamu. Naomba nijuze mtanzania mwenzangu. Asante.
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Habari zenu wana Jf nilikuwa na ndoto siku moja niwe na fitness centre yangu kwasababu wanasema fanya kitu ukipendacho utafanikiwa zaidi. Wana Jf kuna mtu yoyote anaifanya hii biashara au ana...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu nani anajua ufanyaji wa hii biashara je ni wapi watu hununua vitu ili waviuze kwenye stationery zao na ni vitu gani vinavyotoka zaidi. Kwa ujumla biashara hii inafanywavipi, ndugu yangu wa...
1 Reactions
39 Replies
10K Views
Wakuu nimekuja mbele yenu naomba mwenye ufahamu zaid juu ya kanzisha kuendesha blog inaitajika mtaji wa shilingi ngapi NA ni vitj gani mhimu vinaitajika sanasana nitashukuru kwa msaada
0 Reactions
1 Replies
963 Views
nataka kutengeneza mauwa ila sijui maduka yanayo uza material,mfano karatasi za kutengenezea gift bag
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…