Hello.
Nina million 2.
Nina mke na mtoto.
Nahitaji kufanya serious business mambo yasonge.
Kwa sasa mimi na familia yangu tumerudi nyumbani kwetu.
So nilikuwa naomba Sana ideas business ideas...
Based on concept:
A proposal regardless its agenda/theme, is a formal written document used to make right decisions (to think and decide).
Katika struggling zetu za maisha sometimes we need to...
TANZANIA KINARA WA UWEKEZAJI MKUBWA WA MADINI KWA KAMPUNI KUTOKA AUSTRALIA
-Asilimia 21 ya uwekezaji wa Kampuni kubwa za Madini za Australia Barani Afrika ni nchini Tanzania
-Kampuni zaingia...
Kwanini Riba ya mikopo ya mabenki ni kubwa kuliko anachopata mtumishi mfano unaeza kopa mil 6, take home mil 5.31 alafu marejesho inakua mil 9 hii imekaaje wakuu? Tuwasaidie Gen Zee
ZIARA YA MAFUNZO BUNGENI YA WAFANYABIASHARA WA NGARA YAWA NEEMA KWA BIASHARA ZA KANDA YA ZIWA.
04/09/2024, BUNGENI DODOMA
Baadhi ya wafanyabiashara wapatao 60 kutoka Jimbo la Ngara...
Poleni na hongeren kwa ubize wa kutwa nzima ya Leo,
Ni matumaini yangu tunaebdelea vizuri tukiwa na afya njema, kwa wenye changamoto polen na mungu atawasaidia.
Ndugu zangu nimepata aidia moja...
Wakuu kwema
Kijana niko na 350k , kuna jamaa yangu kaniambia anauza saluni yake kwa hio bei.
Vinyozi wanampa 4k per day, na kodi wanalipa wao, nataka kuinunua .
Naombeni ushauri pia kama mna idea...
Hii ni side hustle, sio shughuli yangu rasmi
Sipo Dar lakini nipo kwenye jiji mojawapo kati ya matano, kama mnavyojua kwenye majjiji kuna utitiri wa electronics na ushindani wa hali ya juu...
Been thinking on it over and over again. How good is the Tanzanian ground for Cell phone business? African economy is booming, would it be a good time to setup an international store there ?
Habari yenu wana JF,
Nipo hapa kwa ajiri ya kutokea ushahidi katika uzi ambao niliutoa "AVIATOR HACK TRICK" wengi wao walikua wanakataa kua haiwezj kufanya kazi, kabla sijaendelea ningeomba...
Mshindi wa wiki ya tano wa kampeni ya Vodacom Tanzania Plc ‘Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi' Salehe Samweli (wa pili kulia), akipokea mfano wa hundi ya shilingi laki tano kutoka kwa Mkuu wa Kanda ya...
Salaamu wanajamvi,
Imekuwa ada kuanzisha hata kusajili vikundi vya kusaidiana mambo ya kijamii kama vile msiba na sherehe. Sio jambo baya kwa vile linakuza ushirikiano na ustawi wa jamii.
Ila...