Naomba kufahamu taasisi za kifedha za Tanzania ambazo unaweza kuweka fedha na kupata riba nzuri baadae kama ilivyo fixed account (Benk). Nisaidieni wadau, natanguliza shukrani za dhati!
EURUSD = Sell
EURCAD = Sell
EURAUD = Sell
EURNZD = Sell
EURJPY = Sell
EURCHF = Sell
EURGBP = Sell
NB: Every trade could be entered with a stop loss of 100 pips and a take profit of...
Habari wakuu
Nahitaji kuanza biashara ya vitunguu maji... nianzie wapi..?
Naweza kuchukua mkoa wowote wenye zao hili na nikapeleka mkoa wwt ule wenye uhitaji. muhimu ipatikane riziki tuu...
Wadau naona fursa ya ujasiliamali kwenye hizi barafu za kufunga yes hizi hizi za watoto wa Shule.Naamini nikizitengeneza zenye radha nzuri nitauza.
Sasa tatizo ni ujuzi wa kuzitengeneza Kama...
Habari wakuu.
Nahitaji kufahamishwa ni hatua gani zinatakuwa kufuatwa ili mtu aweze kufanikiwa kufungua kiwanda kidogo. Kwayeyote mwenye ufahamu kuhusu hili anisaidie.
Nahitaji sana msaada wenu...
Tafadhali naomba utaalamu wa wajuzi wa kilimo. Nina miembe ya kuunga ambayo inatoa maua. Mwaka jana ilitoa maua mengi lakini haikuweka maembe, maua yote yalipukutika. Mwaka huu ndiyo imetoa maua...
Habari zenu wana JF mimi nina mpango wa kutoa huduma za
M-pesa
Tigo pesa
Airtel money
Maxmalipo
je ni shiling ngapi inahitajika kupata uwakala wa M-pesa,Tigo pesa,Airtel money na Maxmalipo. pia...
*Dondoo ya leo*
*Katika biashara kuna mafanikio ya aina mbili, mafanikio yanayoonekana na yale yasiyoonekana,kama mfanyabiashara au mjasiriamali zingatia sana mafanikio yasiyoonekana sababu...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
This pair could not sustain the bullish run it started in the last week of July 2016. Price made a faint bullish effort...
Bila shaka wengi wetu pia wameweza kueleza maoni mbalimbali juu ya mwenendo wa uchumi nchini kwa sasa, nami kama mwananchi wa kawaida napenda nitoe ushuhuda wangu juu ya jambo hili hasa...
Biashara nyingi za kiafrika zinakufa pale baba anapoaga dunia sababu kubwa ni baba kutomshirikisha mama pamoja na watoto katika uendeshaji wa biashara tofauti na makabila kama wahindi, lebanuni...
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 14
“My advice to… both strategy creators and investors — is to always have a ‘what-if’ plan. Always know what you're going to do, when the...
Ndugu na jamaa nadhani hapa JF hamna kinachoshindikana na nadhani tatizo langu watu wengi wanajua na wameshafanya sana..Sasa nilikuwa naomba kufahamu zaidi je kama nikiagiza gari kutoka Japan kuja...
Naombeni ushauri na changamoto! Coz nataka nithubutu kwa kununua gari ndogo ya usafiri iitwayo (Hiace) ili nisafirishe watu maeneo to faut kama biashara.
Uhali gani mpenzi wa makala haya, ni matumaini yangu makubwa umzima wa afya kabisa, katika makala hii natakaka tujikite zaidi katika kujua sheria ambazo zitatufanya tuweze kutimiza ndoto zetu...