Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kwa anayeijua vizuri taasisi hii Naomba anisaidie tafadhali, Je?! ni kweli wanakopesha ndani ya dk 35 tu baada ya kuwarushia pesa ktk M-pesa na Tigo pesa?! Naamini kuna wadau wameshafanikiwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habarini wana jamvi? Natumai mu wazima wa afya. Wadau wa jukwaa hili ninahitaji ushauri wenu kidogo kuhusu biashara ya Mahindi huko kiteto,kuna bwana mdogo wangu mmoja kaniomba shilingi 4 million...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari ya wakati mwema wanaJukwaa na hadhira kwa Ujumla Nahitaji kuanzisha biashara Yangu binafsi ila kwa sasa nina mtaji wa 35000 na Biashara nataka iwe ya mtaji wa 500000 na Ntakamilisha iyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nipo LINDI, Naipataje National ID?, Au hadi Dar,nataka kufanya biashara mtandaoni,na ni lazima niwe na National ID.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu napenda nianzishe biashara ya majiko ya gesi kwa ajili ya matumizi ya kupikia lakini kiukweli biashara hii siijui vizuri, tafadhali naomba msaada wenu.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za jioni wadau Mimi ni mfanyabiashara wa kati hapa dar in short wote tunafahamu jiji la dar liko vizuri kibiashara kwasbb ya uwepo wa ofisi kuu za serikali hapa moja ya point inayochangia...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bearish This pair consolidated to the downside last week, moving south by only 100 pips and closing above the support line at...
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Habari za majukumu wapendwa. Ni matumaini yetu kwamba mko vizuri katika hali zote, tunashukuru kwa hilo. Leo tungelipenda ku-share nanyi juu ya mkakati au mikakati ya kibiashara (Business...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za hapa, naomba kujuzwa kuhusu hii biashara na kama kuna uwezekano napenda kujua ni jinsi gani naweza kuifanya hasahasa online.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
sorry Admin soma kwa makini hii sana inamhusu kila mtu hapa haijalishi umri wala jinsia wala kipato wala elimu au cheo pana group jipya limeanzishwa kwa ajili ya kama umepoteza kitu chochote...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, Ni matumaini yetu kwamba nyote mu wazima wa afya na mnaendelea vyema na majukumu ya kitaifa. Leo tungependa ku-share nanyi juu ya miradi (Projects) na usimamizi wake kiujumla (Projects...
5 Reactions
27 Replies
19K Views
Ndugu wadau naomba niwaleteeni habari njema,juu ya ujenzi bora wa majengo yenu kwa kutumia bidhaa bora za aluminum, sstainlesssteel na vioo kutoka CADASP. Sisi ni class one company ktk kusupply...
3 Reactions
8 Replies
6K Views
Napenda kuwapa taarifa kwamba benk ya NBC Mtwara inahuduma mbovu kupitiliza ubovu. Kuna counter 5 na teller Mmoja anaehudumia wateja waliojazana paka mlangoni. Wafanyakazi wengine wanakunyachai na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba serikali ijalibu kutusaidia kuwaondoa vishoka na matapeli wote waliopo waliopo katika office za TRA, wamejaa sana kiasi kwamba ukifika pale kidogo ukiulizia office yoyote pale mapokezi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimejipigapiga na kupata sh.350,0000/= Laki tatu na nusu. Niliwahi kuwaomba ushauri mkasema nifungue genge. Nashukuru nimefanya hivyo pamoja na kufungua kaduka kadogo kwani genge limenigharimu...
2 Reactions
31 Replies
6K Views
Ndugu zanguni ningependa kupata msaada wa mosoko wa madini ya cheapstone kama felispa na mengineyo
0 Reactions
5 Replies
9K Views
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 13 “Writing down a trading plan and sticking to it is the winning trader's secret weapon. If you create detailed trading plans and manage...
1 Reactions
0 Replies
782 Views
kupitia link hapo chini unaweza kuiwezesha hii project kusonga mbele REDUCING A COMMON MANGO SPOILAGE IN WESTERN TANZANIA REDUCING A COMMON MANGO SPOILAGE IN WESTERN TANZANIA
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kwa wale wafwatiliaji wa soko la hisa l dar es salaam (DSE) wanaweza kunisaidia katika hili, Kwa mujibu wa markert trend ya soko la hisa la leo,hisa za Uchumi Supermarkert Ltd...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari, nataka kuagiza vifaa vya kilimo kutoka China. Naomba uzoefu kuhusu usalama wa kuagiza online kupitia alibaba.com
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…