Interview with Tanzanian media mogul Reginald Mengi
One of Tanzania’s richest businesspeople sees hope for end to graft
Read next:
Tanzania’s new president promises to shake things up July 13...
Habari wana jamvi.
Naomba kuuliza Nina mpango Wa kuanzisha biashara ya kuwa agent Wa ving'amzi vya Azam,dstv n.k NA kuanzisha Kituo cha Max Malipo kwa Luku n.k
Mkononi Nina 3m Je hiyo inatosha...
Tanzania Permanent Secretary for the Ministry of Information Communication Technology Prof. Faustin Kamuzora has applauded Huawei Device Tanzania for their continuously initiative to satisfy...
Unapopeleka barua yako ya kuomba kulipwa malipo kwenye kampuni uliongia nayo mkataba kulipana kila mwisho wa mwaka lakini wewe ukawa na shida kabla ya ule muda mliokubaliana kampuni itachukua muda...
Naam, jitihada zako mpendwa Rais mstaafu tunaziona.
Sasa tunaiomba Serikali ya Mheshimiwa Magufuli isikubali utajiri huu wa nishati mpya kuhamishwa na badala yake wawekezaji waje kufungua...
habarini wakuu..
Natarajia kufanya kilimo cha mahindi ya bisi, vipi soko lake liko wazi kupatikana? Na Pia, ni imaharage yapi yanauzika sana sokoni?
Naombeni kusaidiwa..
Nafikiri this is not bad kwa wale ambao hawapendi high risk business,huko BOT wahindi na makampuni ya nje are making the killings,average of 10% with low risk sio mbaya,ila kuna mengi ya...
Kwa watumiaji wote wa egg incubator na wateja wetu wa MGE.tunawakaribisha ktk group la mwakalinga general enterprises ili mjipatie elimu na ujuzi jinsi ya kutumia incubator na uleaji wa vifaranga...
Mgeni Rasmi, Meneja wa Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo SIDO mkoani Mwanza, Damian John Changa, akizungumza kwa niaba ya Waziri wa Biashara, Viwanda na Uwekezaji, katika ufungaji wa Kongamano...
Wakuu,
Kama kuna mtu yuko tayari, nina shida na mkopo wa 3M, Narudisha 3.5 M ndani ya miezi 3. Dhamana kadi ya Gari (Nissan Civilian). Kama upo tayari ni PM tafadhali.
Asanteni.
Naombeni msaada jamani,
Naendesha biashara yangu ya ushereheshaji ila nafahamika eneo dogo na napenda kuipanua zaidi kufikia ngazi ya mkoa ama mikoa nifanyeje kujitangaza na kuongeza ujuzi wa...
Hii imekaaje wakuu.....
The International Arusha Gemstones, Jewelry and Minerals fair ended at Mount Meru Hotel in Tanzanias northern tourist city of Arusha at the end of October, but against a...
Habarini wana jamii? Naomba kufaham kama kuna mtu yeyote yule aliefanikiwa kupata mkopo wa BOA bank, Nasikia kuna urasimu sana katika kupata mikopo kupitia bank hii je ni kweli hizi taarifa
Mikataba mingi Tanzania imekuwa ikilalamikiwa. Walalamikao wamekuwa wakituma shutuma na tuhuma za kukosa uzalendo na ubinafsi upande wa Watanzania wanaotuwakilisha kwenye mikataba hiyo. Hoja...
Katika harakati zangu za kujikwamua nimekutana na hii asasi www.kopa-mali.wapka.mobi/index.php ml nimesoma maelezo Yao ni mazuri kwakweli. Ila naomba kwa mwenye kuwafaham tupeane uzoefu kidogo..
Za Muda wakuu,
Msaada wakuu,
Nimechanga changa hela sasa nataka ninunue bodaboda mbili na niwape vijana waniletee hela kwa siku au wiki, sasa naomba wakuu na hasa wenye biashara za bodaboda...
Kikubwa nachotaka kieleweke ni huu msemo "jali mteja na sio pesa"
kama tujuavyo kila mfanyabiashara lengo lake ni kuuza kwa wingi bidhaa zake, ili uuze sana lazima uwe na wateja wakutosha,ili uwe...
Mwaka jana TFS ( idara ya misitu), walikamata kontena zaidi ya 60, wakituhumu ni magogo ya tz! Mpaka sasa wameshikilia kontena zile na imethibitishwa kontena zilitoka Zambia siyo tz! Mpaka leo...