Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amesema Tanzania inakaribisha wawekezaji wote wa madini mkakati na kuweka msisitizo kwamba uongezaji thamani wa madin hayo mkakati lazima ufanyike Tanzania...
habari wakuu!
katika mitego yangu ya hapa na pale nmenasa mkwanja kama mil 15 na laki saba lakini sina uzoefu na biashara! naombeni mawazo nifanye biashara gani ambayo inaweza nitoa
nipo...
Habari zenu wajumbe wenzangu wa jukwaa hili adhimu!
Nimekutana na changamoto hii kwa mara tatu sasa. Unaingia kwenye mtandao wa kukata tiketi wa SGR kutoka Dar kwenda Dodoma unakuta treni zimejaa...
Wazoefu wa hii biashara naomba ufafanuzi;
Niandae bajeti ya Tsh ngapi kwa ajili ya hii biashara mchanganuo wa bei ya machine na Vitu vingine vinavyohitajika.
Location nzuri iweje Mambo gani ya...
Habari wakuu.
Ni wapi zinapatikana Computer used nzuri kwa bei ya jumla?
Nitapata kwa Tshs. Ngapi kwa pc 1 kutokana na specifications za computer husika? Yaani bei ya kila pc na specifications...
BIASHARA YA MTUMBA
Mtumba ni biashara ambayo wengi wanaipuuzia sana lakini ni kati ya n biashara zenye faida sana hasa ukiwa makini
Mfano unaweza ukanunua nguo kwa kupoint 500 ukifua ukaja kuiuza...
TRA yashiriki MOI Marathon 2024 kwa lengo la kuchangia matibabu ya magonjwa sugu pamoja na kutoa msukumo kwa watumishi wa Hospitali hiyo kufanya mazoezi ili kujiepusha na magomjwa yasioambukiza ...
Katika mambo yanayokera,kutia hasira na kutia kinyaa ndo haya
Tanzania asilimia kubwa ya bidhaa tuna-import nje (kununua nje ya nchi) sasa hili swala la dola kupanda dhidi ya shilingi kunazidisha...
Salaam wafanyabiashara wenzangu.
Wakuu mimi ni mfanyabiashara kwenye Kilimo (Agribusiness). Nataka kujiingiza kwenye biashara ya Zao la Tumbaku. Toka mwaka jana nimeona kuanza kushamiri kwa...
Nilienda ABC bank kuwauliza kama nawezafanya online transanctions kupitia akaunt ya ABC bank, wakaniambia ndio naweza na kad zao znakubalika popote pale duniani. Sasa tatzo linapokuja kwa hiz...
Nawatafuta NMB, nilishawahi kuona uzi wao humu lakini sijui ulipo sasa.
Mashine za uwakala za NMB (POS) moja inauzwa TZS 1,106,000/= (Milioni moja laki moja na elfu sita). Ajabu ni kwamba, pamoja...
Habari zenu ndugu zangu.
Naombeni kwa anayefahamu chochote kuhusu biashara hii ya shule za watoto wadogo anipe muongozo japo kwa uchache kwa kuzangatia yafuatayo:
1. Utaratibu wa usajili wa...
Mara nyingi utasikia mtu tena mfanyakazi anayelipwa mshahara analalamika mkoa fulani bei za vyakula ziko juu ni mgumu kuishi wakati kiuhalisia vyakula vyote vya msingi bei hazijatofautiana sana...
Na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi yenye makao yake Makuu Mjini Babati Mkoani Manyara imepewa tuzo ya maalumu kutoka Chuo...