Dar es Salaam, 30 Agosti 2024 – Taasisi ya CRDB Bank Foundation imezindua rasmi kampeni maalum ya IMBEJU inayolenga kuwaunganisha vijana na wanawake wajasiriamali nchini na programu ya IMBEJU...
Habari ya majukum wakuu?
Naomba kujua kwa yeyote anayefaham wapi nàweza kupata kifaa hiki?
Kinaitwa TEMPERATURE AND HUMIDITY CONTROLLER
Kinauzwaje?
Mi napatikana Iringa
Wakuu napangisha frame yangu kariakoo iko mtaa wa Masasi jirani na hii barabara kuu ya Msimbazi na jirani na kituo cha mwendokasi cha Msimbazi.Inafaa kwa Simu, Vifaa vya Simu au Ufundi wa Simu...
Habari wakuu.
Samahani nina shule inayojishughulisha na utoaji elimu kwa watoto wa chekechekea.Ni mpya imeanza mwaka huu.Kutokana na plan za muda mrefu zilizopo nahitaji kuweka mifumo mbalimbali...
Ndg zangu,
Naombeni mnifahamishe taasisi znatoa mkopo wa haraka kwa riba nafuu. Nina kazi yangu nahtaj cash ya haraka ambayo naeza rudsha within a month.
Habari zenu wakubwa,
Natafuta ni wapi naweza pata roller blades (viatu vya matair) za kununua either dukani au kama kuna mtu anacho na anakiuza tunaweza fanya biashara
Mimi nipo mwanza kama kuna...
Hii wachumi tunaomba mtupe shule kidogo, zipi athari zake kiuchumi kwa maisha ya mtanzania? Ukosefu wa ajira na matatizo ya kiuchumi vijana tutachomoka?
ZAIDI YA MILION 900 ZAKUSANYWA WILAYANI KAKONKO KATIKA SEKTA YA MADINI
Imeelezwa kuwa, katika kipindi cha kuanzia Mwaka 2019 hadi 2023 jumla ya shilingi 924,685,884 zilikusanywa kutokana na...
Habari wana jamvi. Kuna duka naliuza liko Mwanza Nyasaka. Ni duka la urembo lina vipodozi,nguo,mikoba na viatu. Naliuza milioni 2.5 tu na kodi yake inaenda hadi January 2025. Kwaiyo ukinunua wewe...
Habari zenu wana jamvi,
Hii biashara ya daladala hapa mjini(Dar) imekaaje.
Waungwana naombeni mshee mawazo yenu haswa mnaojihusish nayo.
Faida na hasara
Pia per day tajiri anapewa ngapi?
Habari zenu wana jamvi,
Hii biashara ya daladala hapa mjini(Dar) imekaaje.
Waungwana naombeni mshee mawazo yenu haswa mnaojihusish nayo.
Faida na hasara
Pia per day tajiri anapewa ngapi?
ANTHONY MAVUNDE, WAZIRI WA MADINI, TANZANIA
Mwaka jana mwezi Septemba, nilifanya kikao na Taasisi za Fedha na Benki zote nchini chini ya mwamvuli wa Taasisi ya Umoja wa Benki nchini (TBA)...
Habari wakuu, hapa price itashuka au itaendelea kwenda juu,
I have made my own analysis but I just wanna here what do you see hii ni USDCAD, na ni 1H time frame!
Habarini watanzania wenzangu,
Naomba kupata uzoefu wenu ambao mmewahi kusafirisha mizigo yenu mliyonunua mtandaoni hususani Alibaba kwa kutumia DHL Express, gharama zao zikoje kwa 1kg, na pia...
Habari wadau.
Tafadhali naomba msaada wa ni wapi naweza pata vifungashio au kwa lugha ya take away za glass kwa bei ya jumla ambazo ni imara kidogo za kuuzia juice.
Note: sio vile vifungashio...