Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kuna changamoto kadhaa za kutekeleza VAT act 2014, Kuna kipengele cha 25 kinahusu ,In kindemployee benefits. " Where a taxable person is an employer and makes a taxable supply to an employee as...
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Marian Jureck Waziri wa Kilimo wa wa Jamhuri ya watu wa Czech Republic akiangalia chakula cha Ng’ombe wakati alipotembelea mashamba ya ng’ombe na kiwanda cha MilkCom kinachomilikiwa na makampuni...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Kulingana na ushauri WA wadau niliamua kumwambia Client anitumie pesa kwa njia tajwa hapo juu, sasa mdau ndo anaendelea na process za kutuma pesa, kakutana na maneno haya, Payout network na Mobile...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jambo hili linawezekana kwa namna nyingi. Hila kwa hapa nazungumzia umiliki wa kampuni kupitia hisa. Hisa ni kitu cha kiusalama na kihalali kinacho mwezesha mtu kuwa na umiliki wa kampuni au...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wadau wa JAMII FORUM, ZACK FINANCE-BUNJU B, DSM inayoshuhulika na MICRO-CREDIT yenye reg no 211495 ya mwaka sept 2010 tunapenda kuwafahamisha kuwa tunatafuta MAWAKALA ambao watakuwa...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Inashangaza sana kuona Nchi Yetu Tanzania inaendeshwa Kwa kutegemea kodi za wananchi wake ambao hata mlo wa siku unawasumbua.Kodi zenyewe ni za bia, sigara soda saloon Na kina mama ntilie.Tanzania...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wadau, Naombeni msaada wa hizi AC tunazoweka majumbani kwetu. Kama mnavyojua joto limekuwa kali sana hasa hapa kwenye Jiji la Makonda. Naombeni wenye uelewa na uzoefu wa hizi...
1 Reactions
23 Replies
20K Views
Nina milioni moja na nusu kwa mtaji huu naweza kufungua duka la vitu vidogovidogo vya nyumbani? Na je inalipa, msaada plz
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Naomba wajitokeze wanne angalau kila mmoja awe na lengo la kuchangia milioni moja ili tuunde kundi la watu watano tutengeneze kundi la ujasiriamali lkn mie mwenyewe ni mtu wa tano bila ya kusahau...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Habarini wadau wote. Ninataka kununua baadhi ya bidhaa online. naomba mnisaidie kunitajia websites za hapa Tanzania zinazouza vitu online. websites ninazozijua ni Kaymu, Kivuko, Jumia na Shopping...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwa anayefahamu wapi zina patikakana na bei tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Vijana tuna pupa na maendeleo katika utajiri hata mtu akitupa nadharia ambayo utekelezaji wake ni mgumu bila kujadili changamoto zake.
2 Reactions
0 Replies
1K Views
“In tutoring others, I realized that most of the people attempting to trade had no idea what the markets were about, and no idea of what they were doing.”– Joe Ross Helping People Is Almost...
1 Reactions
1 Replies
579 Views
Wanajamii kama kuna yoyote mwenye habari juu ya kiwanda hiki cha karatasi Mgololo atueleze kwani kuna uvumi kuwa kimesimama uzalishaji karibu mwezi sasa kutokana na kutokuelewana kwa bei ya magogo...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Sitaki kwenda kwenye details sana ila yupo kijana mmoja pale kkoo kanisababisha kuongeza. Kufikiri katika kuongeza kipato kijasiriamali zaidi. Mjini kuna vyoo vilivyojengwa vya kulipia. Hivi...
7 Reactions
10 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Neutral EURUSD traded lower last week, testing the support line at 1.1250, to close at 1.1282 on Friday. The movement of the...
0 Reactions
0 Replies
564 Views
Jamani naombeni ushauri mwenye uzoefu kibiashara Qatarb
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa kuangalia jinsi mambo na maisha kwa ujumla ya Tanzania kwa sasa (kwa hii miezi baada ya uchaguzi) naona kama kuna hali ya ugumu katika biashara, mpya na za zamani. Tupo bado hatujui haswa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu waheshimiwa....Wakuu naombeni ushauri wenu!!ipi ni njia nzuri ya kuweka akiba ya pesa?kuweka katika sehemu tofauti tofauti,mfano unaweka benki,kwny mifuko ya hifadhi ya jamii,saccos na...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Kama kuna mtu anafahamu zinapopatikana plate za majiko ya gas anifahamishe please
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…