ESTHER MALLEKO AMUULIZA SWALI WAZIRI MKUU, WAZIRI MKUU ATOA MAELEKEZO KWA HALMASHAURI ZOTE NCHINI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Edwin Malleko leo tarehe 29 Agosti, 2024...
Habari?
Jaman tupeane michongo ya mitaji. Mimi Nina laini zote za uwakala lakin Sina pesa ya mtaji kuanza biashara hiyo.
Je wapi nàweza kupata hata mkopo wa milioni moja nianze kidogo kidogo...
Msaada tutani ni vibali vipi vinahitajika endapo mtu anataka ku launch app Tanzania? Utahitaji vibali vyovyote kutoka mamlaka nchini?
Kwa ambao wamefanikiwa kupandisha app zao playstore/app...
Habarini jamani,
Naomba kujua kero mnazopata wafanya biashara na wanunuaji.
Nafanya utafiti tu ili niweze kujua shida kubwa hasa ni nini kwa pande zote mbili.
Kwa mwenye mda anaweza...
Hivi Wadau haka kaupepo kwenye biashara ni mimi tu ama na kwa Wengine, Hali imekuwa ngumu sana wateja hawaonekani.
Mwezi huu tangu uanze hali imekuwa tofauti sana kupita Maelezo, wateja...
Kuna viwanda zaidi ya 3000 eneo la kisarawe two soon vitaanza uzalishaji, Vikindu kuna viwanda zaidi ya 1000 vikiwa katika hatua ya mwisho ya ujenzi, Kibaha kuna viwanda zaidi ya 500 vikiwa hatua...
Njia za kuzuia wizi kwenye Biashara yako.
Wizi ni miongoni mwa vitu vyenye kurudisha sana nyuma Biashara zetu.
Kuweza kudhibiti wizi kwenye Biashara sio kazi nyepesi kabisa.
Lakini unatakiwa...
Habari wanajukwaa!
Kuna mfumo wa watumishi wa umma unaitwa employee self service ess, kupitia mfumo huo watumishi hawahitaji kubeba nyaraka nyingi ili kukopeshwa mambo yanaishia online...
Dar es Salaam. Tarehe 27 Agosti 2024: VIONGOZI wa dini nchini wameipongeza Benki ya CRDB kwa kuzindua Akaunti ya Sadaka mahsusi kwa ajili ya taasisi za dini kukusanya sadaka, zaka na michango...
Ongezeko la mchango wa sekta ya madini kwenye Pato la Taifa
Tangu kuingia madarakani kwa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, mwaka 2021 kumekuwa na ongezeko la 3.6% ambapo mwanzoni mwa mwaka 2021...
Habari ya asbuhi wakuu, nimerudi tena tuweze kujadili na kukumbushana machache katika utafutaji wetu huku kwenye 'corporates world'.
Kampuni ya udalali na ukusanyaji madeni (auctioneer and debt...
Wakuu ushauri wenu ni muhimu. Ni biashara gani naweza kuifanya nikiwa na kiasi cha tsh million 25? Naamini kwa ushauri wenu na wengine watajifunza kitu hapa.
Ahsante.
Kuenda ulaya ni njia nyingine ya maisha ya kigoma hapa nyumbani ila kumbuka umri mzuri wa kuzamia Ulaya ni 18 to 35......ndo unaweza kuhimili mchaka mchaka ya kuzamia na kujifunza maisha upya...
Naomba kuuliza anayefahamu Bei ya Usafirishaji wa Nafaka. Mfano Mahindi [emoji535] kupitia Semi [emoji597]
Naomba anisaidie bei au Gharama hizo hupimwa kwa kilo au kwa kila Mzigo wa Gunia moja na...
Habari zenu wana JF, sorry guy mm nilikuwa nahitaji mtu au sehemu ambayo naweza kupata mkopo wa 100,000 nahitaji kujiajiri mwenyewe nifanye biashara,naomba msaada wenu
Biashara yangu ndogo bado haijakua kiviile lakini vichange change mkononi haviishi hata kama ni vya rejesho la kila wiki lakini vipo mkononi.
Vipi wewe mdau unaipendea nini biashara yako? Au kama...