Hi issue ilisumbua kwa vipindi tofauti kuanzi mwaka 2014-2015 na tukiwa kama jamii tuliguswa pia na matokeo ya mgogoro huo.
Mimi binafsi niliwaelewa walichokuwa wanagomea wafanya biashara...
Naomba ndugu zangu, yeyote mwenye kuweza kuniandalia Memorandum of Article bila malipo anisaidie ili niweze kufungua Kampuni isiyo ya kibiashara za faida (non- profit making Company).
Nahitaji...
TANGU kuchaguliwa kwa serikali ya awamu ya tano ya uongozi Tanzania chini ya Rais John Pombe Magufuli kumekuwa na wimbi la wageni wasio na vibali kuondolewa nchini.
Pasi na shaka, uamuzi huu wa...
Wakuu...naomba kuuliza!
Hivi ni bank gani Tanzania inayokuwezesha kuwa na Credit Card au utaratibu wowote wa kuweza kufanya shopping online?
Ni bank gani ambayo unaweza kufanya online transfer...
1. Usichukue mkopo kwa ajili ya kufanya sherehe..
2. Usichukue mkopo kwa ajili ya kujenga nyumba ya kuishi...
3. Usichukue mkopo kwa ajili ya kununua gari ya kutembelea...
Hivi ni vitu...
GOLD (XAUUSD)
Dominant Bias: Bullish
On the daily chart, Gold is in an uptrend; whereas a lower timeframe like the 4-hour chart shows that there is bearish pressure on the market. In the...
Wadau
Mtakumbuka nilishawasilisha hapo awali.Bado sijapata serious supplier wa Refined Sunflower Oil kwa ajili ya soko la kimataifa ,hii ni fursa ambayo bado iko wazi na ninavyochelewa huenda...
Fastjet! Kwa kweli Tanzania hii inahitaji mabadiliko makubwa sana kwenye sekta ya usafiri wa anga. Nadhani Fastjet bila kutazamwa na serikali wamejiwekea uzio wa kutokamatika kisheria.
Usiku wa...
Well, having a website is nice move especially for startups, as customers are increasingly searching for right products and services at their fingertips. But is your website really working for...
Unajua watu wengi hudhani mpaka uwe na mamilioni ndio uweze kufanya biashara...
Je unatambua hata shilingi elfu kumi (10,000) inaweza kuwa kianzio kizuri cha biashara kwako?!
Najua unapinga au...
Wasalaam wanaJF,
Naomba Msaada wa kitaalam utakaoniwezesha kupaua kibanda changu kilichopo Tanga kwa garama nafuu.....
Bati napendekeza ziwe za migongo myembamba lakini za rangi(red/blue), Mbao...
Habari wanaJF,
Nimepata idea kama ya Saccoss ila iko tofaut kidogo, iko hivi;
Members tunakuwa tunachangishana maybe kwa miez sita au mitatu inategemea na idad ya members na mtaji ambao...
Habari za mida wadau.
Natafuta mtu au kampuni itakayoweza kunichimbia kisima cha maji yasiyo na chumvi kwenye shamba langu km 7 kabla ya kufika Bagamoyo mjini kwa bei nzuri ikiwemo installation...
Ndugu zangu nina imani wote hamjambo,
Kama unavyojua wengi wetu si wabunifu ,ila kuna badhi wanaweza kunakili na kufanikiwa huenda wanakosa kitu cha kuwatia moyo ,na wengine wanakosa mawazo ,na...
Nataka nianzishe biashara ya samaki kutoka kanda ya ziwa kuja arusha na kilimanjaro naomba msaada wa njia za kusafirisha samaki bila kuaribika kwan mtajio wangu ni mdogo bado cjaweza kumiliki gari...
Ha haaa, kufika pale naulizia bei za chupi naambiwa chupi moja inauzwa sh elfu sitini! Whaat?
Nikauliza kwani hii ya elfu sitini ina tofauti gani na ile ya sh elfu tano niliyozoea kununua pale...
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bullish
EURUSD moved upwards by 250 pips last week, testing the resistance line at 1.1400. That resistance line has proven to...
Habari..
Nahitaji kuchajisha simu kwa kutumia betri ya gari.
Ni betri gani imara ya kutumia ya solar battery, za gari zinazotumia maji... Na za gari zisizotumia maji.
NB: nitatumia katika form...
habari wadau..
kwa washkaji mlio interested na biashara vyuon, kitaa, etc..
kuna biashara ya custom jerseys, for soccer fans, ile unamwekea mtu jina lake na namba kama premier league team...