Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu, Naomba kama kuna watu wanaoweza kunisaidia utaratibu jinsi ya kuanzisha SACCOS,kuanzia utaratibu mpaka kusajiliwa.Najua huku sikosi wausika.
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu habari ya leo. Nina gunia zangu za alizeti hapa Dar, natafuta sehemu kwenye mashine naweza kukamua mafuta. kuna mwenye kufahamu wapi naweza kupata huduma hiyo? Asante in advance
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ukiwa na mipango mizuri kuwa na nyumba nzuri inawezekana. Kabla ya kuchukua hatua panga na fanyia uchunguzi mipango yako. Je itakuwa rahisi zaidi kuchukua mkopo wa nyumba kujenga na kuhamia kwenye...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
It's too early to call greenback top, according to Alan Ruskin U.S. currency may rise to 95 cents against euro by late 2016 Share on FacebookShare on Twitter Share on LinkedInShare on RedditShare...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau Mimi nina soko la nje la white maize,sunflower oil,soy oil na sesame seeds kwa wingi .Kwa mtu mwenye uwezo wa kufanya biashara namimi on commission basis tuwasiliane kwa pm........ Only...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Je ungetamani kuwekeza ktk biashara kubwa big business, kwa mtaji wa kawaida na kuweza kuvuka mipaka yako ya kiuchumi? nitafute kwa ushauri zaidi 0718512775
0 Reactions
6 Replies
1K Views
natumai mu wazima bukheri wa afya leo nimeona tukumbushane kidogo baadhi ya vitu ambavyo vitatusaidia wote kwa pamoja kuongeza masoko na kukuza uchumi wa taifa hili. Mada yetu leo inasema jinsi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NAOMBENI MWENYE KUJUA NI WAPI NAWEZA KUPATA STEELWIRE KAMA ZILE WANAZOSHIKILIA NGUZO ZA UMEME... NAHITAJI ZA 2MM MPAKA 6MM.. NAHITAJI KAMA MITA5000 NITASHUKURU..
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za kutwa wana JF, Naimani nyote wazima wa afya njema, Lengo la kuandika haya nahitaji kujua bei ya bati ya msauth inanunuliwa bei gani maana zinachanganya naweza nikajikuta nanunua bati...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu naomba ushauri wenu kwa mwenye uzoefu wa haya Magari ya SUZUKI SWIFT na TOYOTA VITZ. Ni gari gani zuri kwa utumiaji wa mafuta na kuhimili changamoto za barabara mbovu za vijijini. Nina...
0 Reactions
23 Replies
12K Views
KITABU KITABU KITABU…!! Kama unahitaji kitabu cha elimu ya ujasiriahali na ujasiriamali na mafanikio kwa ujumla kilicho katika lugha ya Kiswahili na kilichoandikwa kuakisi mazingira halisi ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish This pair consolidated from Monday to Wednesday, breaking out northward on Thursday (March 10, 2016). On that day...
0 Reactions
0 Replies
508 Views
habari wana jamvi. jaman nahitaji mteja wa mapeasi anayeweza kukununua kwa bei ya jumla ninayo mengi sana shamba lipo maeneo ya njombe kwa yoyete anayehitaji tufanye biashara.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nahitaji mbia katika kilimo cha bustani nina heka tatu na nusu zipo rufiji mazao yote ya bustani yanakubali.any one interested can pm
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Lengo la uzi huu ni kutoa mawazo yangu binafsi nionavyo kuhusu hisa za CRDB. Ongezeko la watoa huduma za kifedha hapa nchini sio habari nzuri sana kwa wanahisa wa CRDB. Sasa hivi Bank za jumuiya...
5 Reactions
28 Replies
6K Views
Fursa kwa wadau woteeeee! Kwa wale wote "walioko Dar" na unahitaji mkopo wa pesa tafadhali njoo inbox upate huduma kutoka UKWALA MICROFINANCE..... Interest ni 20~25 pct..... Asante!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
We prepare books of accounts. financial statements, VAT returns and business plans, call 0672 259 395 or 0757 568 523
0 Reactions
0 Replies
588 Views
Nataka kununua Gari aina tajwa hapo juu Mwenye uzoefu naomba anisaidie bei yake pamoja na ulaji wa mafuta maana m nina 10m je naweza pata.
0 Reactions
7 Replies
6K Views
One of the most devilish conundrums faced by traders is what to do when an instrument they are following gives a valid signal but this signal is either at an all-time high or low. Such a situation...
0 Reactions
1 Replies
579 Views
Easy Stock Management System (ESMS) is desktop application which facilitates accurate management of stock and business as whole. Main goal of this software is to minimize/ reduce manual control of...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…