Safari zangu mikoani nimeshangaa wingi wa madishi ya Azam tv kila ni endepo. Siyo siri tena Azam TV imeteka soko la TV ya malipo. Je ni mbinu ipi Azam umetumia kuteka soko hadi kuwaangusha DSTV...
Natanguliza shukrani na kwa hali naona neema yaweza rejea tunamshukuru Mungu kwa kupata mvua Dar.
Sasa maombi yangu ni haya binafusi nia shamba langu la miti ambalo nilipanda tangu mwaka 2011...
Hali wakuu...
1. Unamtoza mteja service charge
2. Unamtoza mteja transaction cost kwa kila muamala anaofanya kupitia ATM or service za ndani ya benk....
Bei ya kutoza mnapanga nyie bila kuweka...
Katika pita pita zangu kujua kama kuna sheria mpya ya manunuzi nakutana na website ya gpsa ambae ni msimamizi wa manunuzi ya taasisi za umma lakini cha ajabu kila taarifa waliyoweka nikifungua...
jamani imebidi niulize swali hili kutokana na mambo kazaa yanayonichanganya...mfano tanzania tunanunua mafuta toka nje ya nchi...sio tanzanua tuu na nchi za EAC karibu zote...sasa nimesikia uganda...
Habari,
Naomba mlolongo mzima wa mwenye ufahamu, uzoefu, ujuzi na mtaalam kuhusu saloon ya kike.
(1) Gharama za kuanzisha saloon.
(2) Gharama za vifaa ya saloon eg. Dryer, steamer, raster...
Kwa wale wapenzi wa mchele safi wenye ladha kutoka Kyela (pure ambao haujachakachuliwa) bei ni Tshs 2500 kwa kilo,
Fika mabibo relini mkabala(opposite) na kibanda cha kukatisha tiketi za treni ya...
Inasikitisha sana kwa watanzania wengi hata wale walioenda shule hawaelewi customer service maana yake ni nini. Wafanyakazi wengi badala ya kumhudumia, kumjali na kumheshemu mteja, wafanyakazi...
Huawei introduces Huawei Experience Shops
Dar es Salaam 25th Feb 2016: Chinese Tech firm Huawei Tanzania has re-engineered its device business by launching two Huawei Experience Shops and a...
Habari,
Tunahitaji kupokea malipo kutoka wa wateja wetu kwa njia ya mastercard, nahitaji kununua mashine ambayo inafanya kazi hiyo. Anayejua zinapopatikana tafadhali nifahamishe.
Asante.
Here’s the market outlook for the week:
EURUSD
Dominant bias: Bearish
As it was mentioned in the last forecast, EURUSD has been making some bullish attempt, which, however, has not been...
HM CONSULTING SERVICES, Nina andaa Write-ups za aina mbalimbali kwa wajasiliamali wadogo, wakati na wakubwa.
Writeups kama michanganuo ya biashara, miradi, Mapendekezo ya miradi, ripoti...
Wakuu
Heshima kwenu
Nashukuru Mungu nimefanikiwa kupandisha kibanda changu Na sasa nipo hatua ya finishing...
Naomba msaada juu ya milango ya nyumba ile ya Mbao....
Kuna ambao wamenishaur niagize...
Siku za mwanzo za kuanza kujitegemea na kufanya shughuli binafsi (Biashara, Ujasiriamali nk) ni ngumu sana. Hili nimelishuhudia mimi mwenyewe "personally".
Changamoto ni nyingi na mambo mengi...
Ina Chumba kimoja master ,sebule na jiko vyote ndani mazingira mazuri ndani ya geti parking ipo maji yapo 24hrs na umeme ni wa kujitegemea una luku yako binafsi no kushea Maeneo ya mwenge...
WHAT YOU NEED TO KNOW ABOUT MASTER TRADERS – PART 4
“When I encounter traders who lack enthusiasm for trading, I know their foray into the financial markets will be short lived. They seem...