Habari wakuu.
Kuna suala ambalo nimekuwa nikili_experience hivi karibuni, na si peke yangu ila pamoja na baadhi ya wadau/watumiaji wa Courrier agency kama DHL...ofisi nyingi hasa Dar, na...
YALIYOMO
NINI MAANA YA NICHE NA JINSI YA KUTENGENEZA 2
Kwanini sasa tunakuwa tunazungumzia Habari ya niche? 5
MANUFAA MAKUBWA YA KUMILIKI FOLLOWERS WA NICHE FLANI 14
WATU WANAOTAMANI KUJIPATIA...
UENDELEZAJI WA MRADI WA KABANGA NICKEL WAUNGWA MKONO NA WADAU MBALIMBALI KIMATAIFA
- Serikali ya Marekani yaunga mkono uongezaji thamani madini ya Nickel Nchini
- Falsafa ya 4R ya Rais Samia...
Samahani ndugu zangu kuna dawa naihitaji lakini kwa hapa Tanzania haipatikani.
Nataka kuagiza nje ya nchi kama vile India.
Maomba mwenÿe connection na phamacy za India na huwa anaweza kuagiza...
Habari wakuu, hivi ni kweli biashara hizi bila ndumba hutoboi? Sisi wengine tupo kati kwa Mungu kama hatupo na kwenye ndumba ni weupe kabisa ila ndio hivyo tunaforce hivyo hivyo. Mimi nimeanza...
Kwa nini bei za viwanja vilivyopimwa ziko juu sana nchini Tanzania?
Na Thom munkondya.
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa bei ya juu sana kwasababu upimaji ni gharama sana. Ukiona sehemu viwanja...
Kama una ofisi yako au biashara, usimuajiri mtu kwa kumuonea huruma. Ajiri kwa kuwa ana uwezo wa kukuzalishia na kukuingizia faida, katika biashara yako.
Wako vijana wengi wanaomba kazi kwa...
Msaada nahitaji kuanza biashara ya nguo, viatu pochi na mikoba, ni mikoa na miji ipi yenye mzunguko mzuri wa pesa na inafaa kwa biashara ukiondoa daresalaam?
Sent from my SM-J730F using...
Habari ya wakati huu!
Napenda kufahamu mambo machache juu ya uendeshaji wa shule ya chekechea (elimu ya awali).
Napenda kufahamu juu ya gharama za ujenzi wa madarasa matatu yaliyoungana pamoja na...
Madereva wa Bolt wote hapa Tanzania kuna haja ya kuunda umoja wetu ili nasi kwa pamoja tusikilizwe changamoto zetu maana changamoto tunazopitia ni nyingi ila tunashindwa kupewa kipaumbele...
Habari wana jamvi Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 24.
Sasa nimeamua kuanza kilimo baada ya changamoto nilizikumbana nazo baada ya kutoka chuoni.
Nimeandaa shamba la hekar tatu ambalo lina...
Wakuu habarini
Nauza shamba la miti ya mbao ekari 4 lina jumla ya zaidi ya miti 2350 kwa bei ya kila mti 8,000 na midogo 6,000 kwaio jumla inakua 15milioni. Shamba lipo mafinga,Iringa.
Habarini za Asubuhi wakuu.
Nimewaletea mzigo huu kwenu Pikipiki TVS inauzwa, ina miezi 5 tu tangu inunuliwe. Ni yakwangu mwenyewe haijatumika sana.
Model: TVS 125
Plate number: DQF
Bei yake...
Wakubwa kwa mtu mwenye mtaji wa milion 10 biashara ipi ni ya uhakika Dar,
1. Uuzaji nguo,
2.uwakala(mpesa,tigo,banks),
3.usafirishaji abiria kwa bajaji
Habari wana jf tupeane machimbo ya mchele wa bei nzuri ya chini
Hapa mbeya mjini kuanzia 1200 kuendelea
Kwa ubaruku kuanzia 1300 kuendelea
Wewe hapo ulipo bei ikoje.