Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habarini wakuu, Naamani Katika kujifunza kutoka kwa wengine ndio njia pekee ya kuweza kuongeza ujuzi na ubora kwa kile unachokifanya au unachotarajia kukifanya. Je ni nchi gani either Africa au...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajamvi, Mimi najishughulisha na uuzaji wa bidhaa za urembo hasa cheni, pete, nywele kama wigi na wiving, hereni, kucha, n.k Nimeshawahi kununua mzigo Kariakoo mchikichini street. Sasa naweza...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Nchi yetu inalalamika mapato ya nchi haitoshelezi mahitaji " kwann isichapishe hela zaid kwa ajili ya kukamilisha kiasi kinachopungua ktk budget ya mwaka. Jibu langu likawa rahis tu haiwezekan...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wanajamvi wote. Kuna mada mbalimbali za fursa za kibiashara zilizowekwa hapa jf hasa za Uganda,China,Thailand na Turkey. Nimetumia taarifa hizi nimefika Uganda na najipanga kukua zaidi...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Wanajamii naomba msaada wenu katika hili. Mimi ni kijana nakaa Dar es salaam nasoma ila nimebahatika kupata mtaji kiasi hicho tajwa hapo juu.ni mkopo toka bank. Mimi nilifikiria kufungua...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Wadau kama tittle inavosema, fungulia Clouds FM, Clouds TV au Choice FM muda huu Ruge Mutahaba anaelezea fursa kumi walizozifanyia uchunguzi wa kina.
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Wadau habari za asubuhi, Naomba maelekezo ya namna ya kuwa agent wa hyo kampuni; 1. Je, taratibu na qualification zinazohitajika ni zipi? 2. Ofisi ipi nastahili kwenda? 3. Faida zake zikoje...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wadau habari za mchana...., Kuna kampuni moja inadai kuandikwa kwa tin namba zake katika kila risiti inayotolewa kwa chochote inachonunua....!! Binafsi sina ujuzi juu ya mambo ya kodi katika...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wana JF, Naomba msaada kujua ni bank gani ambayo ina mikopo mizuri kwa ajili ya kujenga nyumba ya kawaida kabisa ambayo riba yake ni ndogo. Inaweza kuwa bank au Agency ya mikopo. Ahsanteni!
0 Reactions
14 Replies
6K Views
HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA 1. TUMIA UJUZI ULIO NAO Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa ya kupata wazo la Biashara, Mfano kama wewe umejiliwa na ni Fundi wa kushona...
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Habarini wakuu, Nahitaji mkopo wa dharura wa shilingi laki tano baada ya mwezi mmoja nitarudisha 650,000.dhamana zangu ni vitu vya nyumbani na kwenye biashara, nipo tayari kusainishana popote...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Negative-Rate Policies Are Becoming More Common. Is the U.S. Next? An in-depth look at the Hail Mary of monetary policy Victoria Stilwell toristilwell Aki Ito akiito7 Daniel Moss...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa amsikitiko makubwa naandika ujumbe huu nikiwa kama kijana niliyejiajiri lakini ndoto zangu za kujiajiri zinaonekana kuzimwa na serikali yetu eidha ni kwa makusudi au kimfumo lakini sioni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
PG Butchery; tupo Ukonga Banana Relini, karibu tukuhudumie Nyama, Samaki (Sato & Sangala) kwa bei nafuu. tunapokea Order ya Samaki na Nyama kwa watu wa Hotelini. Wachoma Nyama, Mishikaki, Mama...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Soma jarida la Darproperty la mwezi huu lililosheeni makala zilizofanyiwa uchunguzi, nyumba, viwanya na bidhaa bora zaidi za sekta ya ujenzi na nyumba. Usikubali kupitwa, Bofya hapa The Magazine
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Katika historia aliyepata kuwa Rais wa Marekani kipindi ambapo kulikuwa na mdororo wa kiuchumi duniani (great economic depression), Franklin Delano Roosevelt aliwahi kuyafunga mabenki kupisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hamjambo wana JF. Nimekumbuka kuna kipindi nilifanya kazi mazingira ambayo ilikuwa vigumu kupata unga na kusonga ugali bali tuliweza kununua vyakula vingi vya makopo kama nyama, samaki, maharage...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Oil marketing companies have formally accused the supplier of petroleum products through the bulk procurement system (BPS), Augusta Energy, over what they claim to be poor quality petrol supplied...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…