TANZANIA is inching closer to join the middle-income countries groups thanks to sustained economic growth that has lowered poverty rate and boosted peoples income.
The Minister for State in the...
Habari wana JF.
Nilikua naangalia trend ya bei za hisa hapa soko la DSE nikaona za NMB zimeshuka kutoka 4300 hadi mwezi huu ni 3500.
Je, benki inafanya vibaya au ni nini, Pia ningependa kujua...
Dear Members. Studies have indicated that Networking marketing (mult-level marketing)-Biashara ya Mtandao) is leading in terms of producing many self employment opportunities in the world and...
Habari!
Je biashara yako ni ya aina gani?
Je ni biashara ambayo huwezi kuifanya katika muda wote wa mwaka? ikiwa jibu ni NDIYO, basi biashara yako ni ya MSIMU.
Je msimu wa biashara...
Husika na kichwa cha habari,
Wale wenye biashara zao ila wanataka kuongezea mtaji.
Waone ESS CREATIVE FOUNDATION WA JET LUMO.
Wanakupa ruzuku ya kuanzia sh 0-1000000 kwa wafanyabiashara wadogo...
Nimekuwa nafuatilia hii mifuko, ki ukweli naona mfuko ulio ekeza miradi kuliko yote ni NSSF ila naona ndio mfuko wenye Mafao ya mwisho kidogo kuliko mingine.
Naomba mwongozo kwa anayefahamika...
Habari wajamii wenzangu!
Sitafuti madalali wala wateja kwani ninao, natafuta ufahamu. Mimi nina mawe ambayo kwa picha nilizomtumia jamaa yangu ananambia ni aquamarine. Tumekubaliana wiki ijayo...
Habari Wakuu,
Mimi niko DSM. Nahitaji distributor au supplier wa sausages za Kenya na Tanzania. Ninaweza chukua packet 50-70 kwa wiki. Niko Mbezi Mwisho. Please call this number if interested...
Quoting Software has unique significance in current business age and it is an unavoidable entity. It is an effective method which offers customers an easier way of obtaining price and saving time...
Unakuta umekopa salio airtel, baadae unalipa hadi ile pesa ya nyongeza iliobaki unaiona, halafu unanunua muda mpya wa maongezi na message ya kwamba umepokea dakika kadhaa inakuja lakini ukipiga...
Dar es Salaam 12th June 2015: Puma Energy, the globally integrated midstream and downstream energy company, and DHL Express, the worlds leading international express services provider, have...
We compiled a list of 13 countries with the highest projected compounded annual growth rate (CAGR) from 2014 through 2017 based on the forecasts from the World Bank's Global Economic Prospects...
Makosa makubwa yamefanywa kutoza VAT kwenye malipo ya Bima. Hatua hii inaonesha namna gani waandaaji wetu wa bajeti walivo dhaifu sana katika mambo ya uchumi na ni wepesi wa katika ufahamu wa...
Wapendwa wana JF, natambua kuwa katika mitaa yetu tayari tunazo mashine za max malipo ambazo zinatumika kutoa huduma mbalimbali za kijamii ikiwemo kulipia malipo ya dawasco, luku n.k
Ndugu zangu...
Habari zenu
Narudi kwa mara nyingine wadau nahitaji msaada wenu juu ya uendeshaji wa biashara ya kufua kwa machine.
Naombeni bei za kufua za nguo aina tofauti na machine zipi ni bora.
Asanteni
3 Secrets to a Successful Mindset
1. Strong Desire
Right now does your life suck?
If so, this may be a good thing and almost essential to help you move forward. Don't complain about it or use...
Kwa wafanya biashara..Fanya biashara hizi kuelekea uchaguzi mkuu.
1. Stationary (business card za wabunge, madiwani, n.k)
2. Ku print t-shirt
3. Kituo cha redio hata chenye masafa mafupi .eg...