Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wakuu, Nimefungua duka la samaki natafuta mtu anayesupply samaki aina ya sato na sangara ili awe ananiletea. Please nipe contact zako.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Natafuta mtu anaeuza ma bale ya viatu vya mtumba hapa Dar. Nina duka langu na na wateja wanahitaji variety na good quality. Kama ni Kenya naomba basi contacts za hao wauzaji. Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari za majukumu wadau. Nina wazo la kuanzisha biashara ya petrol station lakini sina uzoefu wa biashara hii. Linalonifanya kuwazia aina hii ya biashara ni kwamba nina site Dar ambayo nafikiri...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Habar zenu wadau, Kutokana na uhaba wa ajira TZ sio siri kujiajiri ndio suala la ulazima kwa sasa basi nimeamua kujishughulisha na masuala ya blog kwani nazani muda mwingi nautumia mtandao hivyo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natumaini sote tu buheri wa afya wakuu, Naomba niende kwenye lengo moja kwa moja. Nina viroba vya mihogo zaidi ya mia moja(100) hivyo natafuta soko.Bado ipo shambani ila atakayekuwa interested...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Usihofu sana kwa ajili ya hiyo Title ila nachojaribu kusema biashara ni sawa na mwanamke unayetaka kumuoa kwahiyo ukidhani kwa mtazamo wako mwanamke huyo ni malaika au mkamilifu sana ni Lazima...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani kwa mtu anayeelewa kuhusu ununuaji wa hisa na faida zake nikingeomba anieleweshe. Mfano nikinunua hisa za million 5 kwa muda wa miaka miwili naweza pata faida kiasi gani?
0 Reactions
0 Replies
875 Views
hivi karibuni kumekuwa na taarifa kuwa voda na tigo wanapambana kuinunua zantel. uongozi wa zantel umekanusha na kuthibitisha hilo, etisalat group wameongeza umiliki wao mpaka 85% kutoka 65% na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wapendwa Wajasiriamali wenzangu, bado nauza laini zangu tajwa hapo juu. Sababu ya kuuza ni shida binafsi Piga 0717037091 / 0755345833 kwa mazungumzo zaidi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi, am a tenacious mechatronic expert , with a lot of experience in electronic design. i also have an aptitude towards analog circuits, high power switching control, as well as in small signal...
3 Reactions
0 Replies
3K Views
Salama Wakuu. Nataka kuanza hii shughuli ya Utengenezaji wa vitambulisho vya Plastiki. Sasa nataka kujua A. Vifaa vinavyo tumika mfano Printa, Cutting machine etc B. Software inayotumika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni kweli ni maajabu ya baadhi ya watanzania wanalalamika maisha magumu Tanzania maisha yamebana!wakati mtu huyo huyo hajawahi kufika...
1 Reactions
0 Replies
899 Views
Tunatoa huduma zifuatazo: 1. Tunaandika katiba za Makampuni na NGOs 2. Tunaandika Business plans za biashara, makampuni na NGOs 3. Tunaandika Memorandum and Articles of Association za makampuni...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Natafuta Mkopo wa milion moja na laki mbili. Riba tutaelewana na muda wa kurudisha ni miezi 3. Maelezo zaidi nitampatia mhusika pamoja na mahali nilipo na dhamana niliyonayo. Asante.
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Wanajukwaa nimekuwa nikitamani kufanya biashara ya simu used (smartphones). Nina mtaji mdogo milioni mbili, naomba wenye uzoefu na biashara hii wanipe ushauri juu ya upatikanaji wa hizo bidhaa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba kujua bei ya flyers kariakoo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
This means that you i just take advice about the market, ihave to educate myself so i can see what's coming and have time to prepare. If i don't plan on investing in financial education, then...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Hello Sir/Madam It's my hope this email will find you well,As you might be aware of coming SabaSaba Trade fair - Exhibition 2015 ICT Planet is well committed to save you with any kind of printing...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakubwa, nalileta hili ktk sehemu hii maana linagusa uchumi kwa maana ya miundombinu, pamoja na mali za watu na mashirika. Eneo la hifadhi ya barabara, ni mira ngapi kutokea katikati ya bara bara...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
WHY DO PEOPLE COME BACK EVERY YEAR? Dear colleague, I wanted to let you know that tickets for our world sales conference – taking place June 2nd 2015 – are selling faster than usual this...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…