Tarehe 12/04/2014, siku ya jumamosi, saa 9:00 kamili mchana, ukumbi ni Ubungo River Side Bar - Ubungo River Ride. kutakuwa na kikao cha pili cha wadau wote ambao wapo tayari kuleta mapinduzi ya...
MBINU ZA BIASHARA
JIBU LA KWA NINI WATU WENGINE NI MASIKINI NA WENGINE NI MATAJIRI
Watu wengi wanajiuliza, Siri ya utajiri ni nini? Jee ni mbinu gani zinaweza kumsaidia mtu kupata...
Kwa ajili ya maendeleo ya miradi/biashara zako sisi tunakuandalia WRITEUP sawasawa na hitaji na aina ya Mradi wako; Uwe mradi Mpya au unao endelea Writeup ni mhimu; Maana project documentation ni...
KWA UFUPI
Serikali inapaswa kupitia upya wajibu wake kwa kurahisisha mfumo wa kodi na ushuru, na kufanya mgawanyo wa mapato kuwa wazi zaidi.
Sekta ya utalii kwa sasa ndiyo inaongoza katika...
Wakuu leo niko Handeni huku Mkoani Tanga kwenye mishe zangu!
Kutokana na business nilizofuata ikanilazimu niende bank ya NMB kufanya transaction!
Bahati mbaya nikiwa kwenye foleni nikisubiri...
Salaam wakuu,
nahitaji orodha ya hotels, lodges, na guest house zenye hadhi ambazo ziko under construction na ambazo zimefunguliwa hivi karibuni, popote Tanzania, kuondoa hapa Dar. Ukiandika na...
Husika na kiwa cha habari hapo juu. Naomba kufahamishwa jinsi ya kupata hii networth/utajiri wa mtu au kampuni, kwa mfano wanavyo sema Oprah ana $ 2.5 bn au shahrukhan anazo $ 600 million.
[10:49pm, 4/27/2015] Mch. Kiondo: HALI YA HEWA SIYO SHWARI MIKOANI.
Ikumbukwe tarehe 6.09.014 mkutano wa kitaifa uliokuwa ni maagizo ya serikali ili kupata wajumbe katika uwakilishi wa kitaifa...
HI,
wiki hii nimepata mzigo wangu kutoka online store ya asos, Huwa naagizaga viatu, Kwa ufahamu wangu huwa vitu vikiwa chini ya kilo mbili(2) huwa hulipii Ushuru/customs(TRA). Hiyo mizigo...
Wakubwa shikamoni wadogo habari zenu,
Naombeni msaaada namba yangu ya NSSF Inatumika kwa watu wawili na wakwanza ndiye kapewa kadi yenye namba ninayotumia mimi ambaye sina kadi hiyo.
Je...
Wakuu,
Hivi matumizi ya US$ kwenye domestic transactions (almost every big business i.e hotels, shopping malls nowadays zinacharge per usd) hakuna madhara yoyote kwenye uchumi wa nchi yetu?
Hii nimekuta kwenye page ya PPRA, natafuta hayo mamilioni waliyosave sioni. Nisaidieni kusoma jamani, mi macho yangu hayaoni.
Government ‘saves millions' through bulk procurement of...
Shilingi ya Tanzania imekuwa ikishuka thamani kila mwaka lakini hivi karibuni shilingi hii imeonekana kuporomoka na sio kushuka kwa kawaida.
Kiuchumi, kushuka kwa thamani ya shilingi ni ishara ya...
Natafuta mtaalam wa kuandika Business plan ya dispensary katika eneo la kijijini lenye wakazi 20,000. Ni shilingi ngapi na kwa muda gani?
Tuwasiliane kwa simu: 0752238263
Read the story of one of the Training center in India that will take you through with example all the 8 facts that any business man should know and get prepared for
8 well demonstrated facts for...
Habari zenu wanaJF,
Katika jukwa hili siku za nyuma pamekuwepo na mada mbalimbali kuhusu kukodisha au kukodishwa Magari Saloon, Truck ndogo mfano Suzuki Cary kwa ajili ya kufanyia biashara...