Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

1. Anzisha Chama cha siasa, piga domo upate angalau Diwani, mbunge ruzuku kama zote. 2. Anzisha huduma za maombezi na kupata utajiri, utakusanya pesa za wavivu mpaka ukimbie, 3. Betting/Bahati...
7 Reactions
20 Replies
983 Views
Habari wana JF, Naomba kuuliza jamani. Ni utaratibu gani nitumie ili niweze kununua ngano kiwandani? Alie na ujuzi na hii issue naomba anielekeze
1 Reactions
17 Replies
473 Views
  • Closed
Nahusudu kufanya kazi ya udalali wa nafaka hasa mchele kwenye maneno husika kama mbeya, kahama, mwanza. Kipi nianze nacho kwa mgeni wa maneneo hayo
1 Reactions
15 Replies
492 Views
Habarini wana jamvi, hivi karibuni kama mwezi hivi uliibuka mtandao wa kuwekeza hela then unalipwa 20% ya fedha ulowekeza kila siku. Kama kawaida wa tz hatusikii watu wakajiunga. Mimi fursa...
6 Reactions
20 Replies
795 Views
Nilikua sijui na nikawa nadharau sana, ila Facebook Ina wateja utawachoka wenyewe, Kuna magroup ya biashara kujiunga bure unakuta Kila group lina 200k members asikudanganye mtu utafanya biashara...
15 Reactions
19 Replies
1K Views
Hakuna jambo gumu katika biashara kama mwanzo, biashara nyingi hufa mwanzoni si kwasababu hamna wateja ila ni kutokana na ufinyu wa mtaji na na kwa wenye mitaji kutojua nini cha kuuza na kipi...
63 Reactions
65 Replies
11K Views
Mwenye sunstone na uko Dar es Salaam, Morogoro karibu tuzungumze Niko katika kutafuta ya mawe ya Sunstone. Ikiwa wewe ni mwenye kuchimba au unayo sunstone na unaishi Dar es Salaam au...
1 Reactions
0 Replies
195 Views
Mimi ni moja wa vijana wasaka tonge, Nina ndoto ya kufika mbali kiuchumi, nipo Singida, sasa natamani kuhamia Kati ya manispaa ya Mpanda au manispaa ya KAHAMA au NZEGA TC ,wenye uzoefu na Maeneo...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Asilimia kubwa ya biashara zinazokufa ni za wale watu ambao wanaomba mawazo mfano nna milioni Moja na laki tano nifanye biashara gani ? Hizi biashara huwa hazichukui mda mrefu kwasababu mtu...
3 Reactions
3 Replies
614 Views
Habari. Hivi ni sahihi kutumia neno Facebook kama jina la biashara? Mfano FACEBOOK PUB au FACEBOOK LOUNGE au FACEBOOK BAR. Kisheria imekaaje?
4 Reactions
15 Replies
561 Views
Hello, nahitaji muongozo kuagiza bidhaa ambazo ukiingia Amazon unaambiwa THIS ITEM DOES NOT SHIP TO YOUR LOCATION. Nina soundbar nililetewa na mtu imekufa, nataka kuagiza nyingine lakini haiwezi...
1 Reactions
1 Replies
190 Views
To attract more customers to your business, consider implementing the following strategies: 1. Define your target audience: Identify your ideal customers and understand their needs, preferences...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba mwenye anajua mawakala wa pikipiki aiba ya Sanlg na Sinoray anisaidie pls🙏🙏
0 Reactions
3 Replies
296 Views
Wana jf, nimeona hizi noti mpya za elfu kumi zina usawa wa ukubwa sawa na noti ya elfu mbili ya zamani! Tahadhari kwa wale wanaotumia money counting machines! Zikichanganywa na za kumi...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Pesa au fedha Uzalishwa wapi?? Pesa ni chombo cha kubadilishana bidhaa na huduma katika ya watu. Katika lugha ya kiswahili. Chombo hicho kina majina kaza wa kaza Fedha, mshiko, chapaa, na mengine...
1 Reactions
3 Replies
841 Views
Ni Kawaida Sana kupita sehemu ukasikia tangazo la mtu kununua pesa za kigeni pesa mbovu au pesa za zamani yes pesa hizi zinanunuliwa kulingana na thamani mfano elfu 10 mbovu atakupatia elfu 8 yeye...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jf ni matumain yangu kuwa mko salama. Kama topic inavyojieleza hapo juu naomba msaada wa kujua namna ya kuanzisha, kuendesha faida, changamoto na namna ya kuziepuka ili niweze...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Mashudu mazuri ya karanga nauza nipo Dodoma bei maelewano nicheki kwa namba zangu +255682761740 tufanye biashara iliyonyooka ipo Tani 30 kilo sh.800
1 Reactions
9 Replies
574 Views
Habari? Naomba kupata muongozo. Je, milioni nane inaweza tosha kufungua grocery kwa Dar es salaam? (Pombe+soda+maji)
4 Reactions
17 Replies
608 Views
Ni tarehe 12 mwezi wa nane, Je una duka la vifaa vya ujenzi? Ulishawahi kukopwa mzigo mkubwa na mtu,kikundi cha watu,au taasisi? Vipi ulilipwa kwa wakati? Na wakati unadai pesa yako,ilikuwaje...
2 Reactions
2 Replies
419 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…