Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Naombeni mnisaidie utaratibu halisi wa kulipia ghrama za kuingiza gari nchini ilikwa ni pamoja na gharama za TRA usajili kutokana na mwaka
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau, Je, Wewe ni mfanyabiashara? na je Biashara yako imesajiliwa? na Jeu na nia ama mawazo ya kujitanua zaidi kibiashara? na je, una tenda mpya on the way na unahitaji kua funded ili...
0 Reactions
42 Replies
9K Views
Hivi hii kamari haina athari kweli kwa uchumi wa vijana japo kuna wachache ambao wanafaidika? Vijiwe vya betting mitaani sasa ni kila kona na vinazidi kuongezeka.Je,huu tunaweza kuuita ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wadau niko mozambique nina kiproject kimoja cha kiwanda cha unga ambacho nilikianzisha miaka yapata miwili hivi lakini mwaka jana kutokana na kubanwa na majukumu ya kifamilia mtu niliyemwachia...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau ninahitaji kununua Kasiki mwenye uelewa katika hili anijuze.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mnisaidie bei elekezi naenda nalo sokoni ,Jiwe hili lina uzito wa gram 58 ni nimelipata kwenye kamgodi kangu ni non synthetic liko very transparent japo ndani linakama muonekano wa nyota ndogo...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
hivi ni nani mwenye jukumu la kufuatilia ili kuhakikisha michango ya NSSF inaingia? 1, mm mwanachama? au 2, nssf wenyewe maana utakuta mwajiri hajaingizaichango zaidi ya mwaka na ukiuliza nssf...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nina mzigo unakwenda rwanda na zambia nahitaji Truck leo na kesho wasiliana nami kwa number hizi 0754 770207 0713770207 Thanks&Regards
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wapendwa, Nimejaribu kupita sehemu nyingi hapa Dar ili nipate thamani za ofisi ready made ambazo zimetengenezwa kwa mbao za hapa nyumbani, Mninga, Mvule, Mkongo nk. Sijaona sehemu ambayo kuna...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana JF, Mimi ni mwajiriwa katika airline moja hapa Tz, naomba msaada wa kuzifahamu kampuni zitakazo weza kunipatia gari wabaki na original card ya gari then tuingie mkataba wa kuwalipa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wana jamvi, Naomba tubadilishane mawazo kwenye hili, mara nyingi kumekuwa na biashara au fursa nyingi zenye kuhitaji nishati ya umeme na hivyo kupelekea kupata faida ndogo kutokana na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
je wakuu ni biashara gani mtu unaweza ukafanya hapa bongo ya mtaji wa wastani ikawa inakuingizia kitu kiasi...mimi ni kijana niko kwenye mipango ya kutafuta ni biashara gani nzuri ya kuanza nayo
0 Reactions
0 Replies
717 Views
PAVE Investments Limited ni kampuni inayotoa huduma ya Environmental Impact Assessment/Audit (EIA) na imesajiliwa na NEMC kama Environmental Expert Firm. Tunakaribisha wateja kupata huduma yetu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ccm habari hii iwakae sana akilini,na mkae mkijua ya kwamba suala la kuitoa gesi mtwara na kuihamishia sehemu zingne kutaathiri moja kwa moja maendeleo ya mkoa huo,, kuna mpango ushaandaliwa wa...
3 Reactions
99 Replies
12K Views
Ukiwa katika hifadhi hiyo utafurahia mandhari mbalimbali za mlima Kilimanjaro. IDADI ya watalii wanaotembelea hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) imeongezeka kutoka 37,000 hadi...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Biashara mpya zimekuwa na mambo mengi sana. Kuna biashara ambazo huwa zinaanza kwa wateja wachache sana na kuna nyingine zinaanza na wateja wengi sana. Biashara zinazoanza na wateja wachache...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wana JF, Naomba msaada kujua taratibu ninazo takiwa kufanya ili niweze kuagiza mzigo wa matairi ya gari kutoka China. Zipo kampuni kama mbili ambazo nawasiliana nazo. Hapa nataka kujua...
0 Reactions
2 Replies
764 Views
Radio One taarifa ya habari -- WaTanzania wenye uwezo na wafanyabiashara wameshauriwa kuanzisha viwanda badala ya kuwa wachuuzi.. Nashangaa wafanyabiashara wakubwa Tanzania wanaenda China kubeba...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi Wadau, eti ni kiwanda gani wanaprocess pamba na kuzipack kwa wingi ready for use...mfano labda haya mahospitali makubwa yananunua wapi pamba zikiwa nyingi yaani mfano kilo mia na kuendelea...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…