Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Salam wakuu, Mimi ni mjasiliamali, hivi karibuuni nikiwa katika harakati zangu za kujigomboa na umaskini, nimekutana na fursa nzuri, ambayo itawahusisha bank na hao wateja!! Sasa nnachoomba wakuu...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Naombeni kama kuna mwenye ufahamu juu ya haya maharage yanapatikana wapi kwa urahis hapa Tanzania. Thanks!
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Nov 1 Airtel money imezindua huduma ya kutuma,kupokea na kutoa hela nchi za Tanzania, Kenya,Uganda na Rwanda. Waliotumia huduma hii tunaomba mtujuze faida na hasara ya huduma hii muhimu hasa kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tunapenda kuwataarifu wateja wetu kuwa huduma zetu za solar tunazitoa Tanzania nzima ikiwemo Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar, Sepon Limited Tunatoa Huduma bora zenye uhakika wa upatikanaji wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Customers in Tanzania’s Tigo Pesa are set to be the first in Africa to enjoy universal mobile services. Tigo, a subsidiary of Millicom an international telecommunications and media company...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salam ndugu wana jamvi. Nimeona mara nyingi articles zikielezea manufaa ya ndege jamii ya kware. watu wengi wamejaribu kutoa faida zake kem kem zinazohamasisha kufuga ndege huyu. Lakini...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Wandugu kwanini hawa jamaa hawawekezi kwenye kuzalisha umeme, nchi yetu inamabwawa 6 tu ambayo hayafiki 600MW za uzalishaji. Inasemekana Tanzania inaweza hadi kuzalisha megawatt 10,000 kutokana...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Habari zenu wadau. Msaada na mawazo, kwa wakazi wa DSM mtakuwa sio wageni na haya maji. Anayejua chochote au mwenye data yoyote kuhusu kilichowatoa sokoni hawa jamaa Penguin na Pangani pure...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nina idea ya mradi flan hivi wa kijamii naomba ajuaye anijuze step za kufuata na namna ya kuandika proposal nzuri
0 Reactions
10 Replies
14K Views
Habari za mishughuliko wana JF, hivi unajua wapi wananunua kahawa? Na mbinu gani huwa wanatumia kupanga viwango vyake. Kuna sehemu niliambiwa iko kwa wingi ila kwavile sikuwa na idea yoyote kuhusu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Free Service for one year after installation and one year warranty, Sepon ltd supply and install solar equipment together with Backup system for electricity. We provide quality service to our...
0 Reactions
1 Replies
784 Views
wadau kama kuna mtaalamu wa kudesign barbershop ili iwe na mwonekano wakuvutia ani-PM
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana JF, Nahitaji kununua Suzuki Carry truck na nimekuwa na negotiations katika Japan Trade Car View. Nimekuja hapa kupata mwongozo kwani magari mengi (4WD, cc zaidi ya 500) niliyojaribu...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Kwema??? Sina uhakika kama hii thread ni mahala pake ila nategemea wenye ujuzi na mambo haya watapatikana huku. Kuapply for copyrights au patents hapa nchini kwetu, je, ni Institution gani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wana jf. Kama kichwa cha habari kinavyohusika nahitaji mtu anayeweza kudesign pamoja na kufanya lable ya product. Ni very urgently. Anayeweza naomba tuwasiliane kwa pm. Asanteni.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii, Mimi ni kijana wa kitanzania nlikuwa nahitaji msaada wa jinsi ya kusajili project yangu endelevu kwa ajili ya vijana kujikwamua kiuchumi kutokana na mazingira...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji sehemu ya kufungua restaulant ya kwaida yenye kuhudumia watu 10 mpaka 15 vyakula vya uhakika ni wali ugali,pilau, biliani supu chai na vyakula kwa oda, ni maeneo gani mazuri kwa hapa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wadau. Msaada na mawazo, kuhusu pendekezo la maeneo ya viwanda ndani ya DSM kwa ajili ya kiwanda kidogo cha kusafisha na kupaki maji ya kopo kama mkilimanjaro, uhai n.k. Kwa ajili...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Wana jf naamini akuna linaloshindikana humu ndani, nahitaji kuwa na blog kama njia ya kujiajiri nahiatji kujua machache toka kwenu wapendwa, tofauti na computer na access ya mtandao ni jitiada gan...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Vitu tunavyomiliki au umasikini tulionao leo ni matokeo ya jinsi tulivyo fikiri na kutenda jana. Leo ni siku ya kupata matokeo halisi ya jinsi gani kila mmoja wetu kwa wakati wake alivyoweza...
0 Reactions
1 Replies
987 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…