Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu, Nina kapesa kangu kama million 6 hivi kamekaa benki muda mrefu naona wanakakatakata tu huko benki, Sasa nataka nikatoe benki walau nikawekeze UTT AMIS au Kwenye hati fungani za serikali...
3 Reactions
46 Replies
5K Views
Dodoma, Tanzania – Agosti 08, 2024 – Kampuni ya Sukari ya Kilombero imeshiriki katika Tamasha la mwaka huu la Nane Nane, lililofanyika kuanzia Agosti 1 hadi 8 katika mikoa ya Dodoma na Morogoro...
0 Reactions
1 Replies
220 Views
chombo hio hapo inataka 1.5M chap,ni kuwasha na kuondoka
2 Reactions
4 Replies
446 Views
Nipo mwanza naomba kufahamu wasambazaji na wauzaji wakubwa wa pilipili hoho tufanye biashara. 0755426943 Kama upo tuwasiliane mapema iwezekanavyo ndugu... (Popote ulipo)
0 Reactions
0 Replies
160 Views
Mwaka 2000, teknolojia ya kamera za digitali iliibuka na kuleta mtikiso katika sekta ya upigaji picha. Wapiga picha wakongwe waliamua kuendelea na kamera zao za filamu wakiamini kuwa teknolojia ya...
1 Reactions
0 Replies
185 Views
Asema mradi huu una umuhimu wa kipekee Asema kiwanda hicho kinaenda kutoa uhakika wa sukari nchini, awapongeza NSSF na Jeshi la Magereza kwa kufanikisha mradi huo Na MWANDISHI WETU, MOROGORO...
1 Reactions
3 Replies
317 Views
Wakuu kwema kama una betri la dell Inspiron 3576 used Naomba sogea dm tuyajenge unipe Bei Yako tumalize biashara Betri atleast liwe longer 3 hours. Karibuni dm /0627796644 [emoji3513] Whatsapp...
1 Reactions
0 Replies
165 Views
Naomba kusaidiwa uelewa kwa uwekezaji wa 10M utt Amis faida yake na mfuo bora upi kwa mwezi, nusu mwaka au mwaka
7 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari wanaforums! Nauza Mbao za mti wa pine zenye ubora, kipimo kilichojaa na bei rafiki. Size ambazo zinapatikana ni 2 by 4 2 by 2 2 by 3 1 by 4 1 by 10 1 by 8 1 by 6 Ninapatikana Wino Songea...
2 Reactions
2 Replies
278 Views
Nimewekeza jana kwenye mfuko wa ukwasi ( liquid fund) nimeweka milion 7 hasa leo nimeangalia salio hapa inanionesha hivi naombeni msaada kwa wazoefu. Mimi nilikuwa nafikiri nitaikuta hela yangu...
1 Reactions
12 Replies
725 Views
Naombeni ushauri nilikuwa sijui nimewekea 500m na wazazi wangu nimekuja kujua hivi karibuni wiki ya kuanzia j3 kuja wikiend hii nipo hapa naweweseka baada ya mwanasheria wa mzee kuniambia kwa...
9 Reactions
60 Replies
2K Views
Wakuu naombeni ushauri mzuri wa kufanya hii Biashara nataka kufungua sasa. 1. Wapi ntapata makeup set nzuri kwa gharama nafuu. 2. Vitu gani niweke ili kunogesha Biashara yangu? Mimi ndo kwanza...
2 Reactions
2 Replies
318 Views
Habari wakuu, Safari ya mafanikio kwa aliyefanikiwa ni rahisi kuisimulia kuliko uhasilia uliopo field. Watu tumekuwa tukitengeneza maneno mengi ya uongo especially maneno ya vijiweni ili mradi...
12 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naomba kuwauliza chimbo la cherehani aina zote hasa cherehani za kushona nakudarizi kama Usher.
1 Reactions
9 Replies
525 Views
Habari WanaJF! Nahitaji link, muhusika (supplier), mkulima au mwenye kufahamu ninapoweza kupata kwa wingi KARAFUU, UFUTA, DENGU na PILIPILI MANGA. Nina mnunuzi tayari mkononi. Naomba msaada...
0 Reactions
4 Replies
504 Views
Natafuta wakala was vinywaji baridi hasa kampuni ya Mo.Nahitaji wakala aliyepo maeneo ya Kariakoo,Muhimbili ma maeneo ya jirani.Nipigie 0747464239
1 Reactions
2 Replies
344 Views
Habari wakulungwa ninahitaji kujua bei ya mbaazi shambani na zikienda sokoni zinauzwaje??
0 Reactions
3 Replies
670 Views
Habar wakuu wapi ntapata wakala mkuu sukari yakilo 50 ya kutoka nje Ile ..kwa dar es salaam au mwanza nani wakala mkuu
1 Reactions
1 Replies
181 Views
Habari ndugu zangu wa JamiiForum, naomba kujua ni taasisi gani, au mtu gani wa uhakika wa kuniunganisha na kazi za nje ya nchi kwa gharama nafuu, natamani ningepata kazi katika nchi za ULAYA...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Naomba kujua kuhusu huo mkopo.kama heading inavyojieleza. Jf hamjawahi kuniangusha. Karibuni
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…