Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Je kuna mtu anajua ni kodi gani ipo kwa mbao za kutoka nje.Anayejua tafadhali anijulishe.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mtumishi serikalini nimeomba mkopo katika tawi moja la boa hapa Tanzania Kanda ya Ziwa sasa nimetimiza mwezi mmoja kila nikienda loan officer dada mmoja ananijibu approve ya mkopo wako...
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Habari zenu! A/C yangu ya CRDB imefungwa kwani nina muda mrefu kama mwaka sijaitumia kwa sababu hali ya uchumi kuyumba. Sasa, leo naenda kucheki naambiwa tu haraka haraka lete 25,000/= kwa ajili...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wakuu! Nina wazo siku moja kwenda China au Thailand, ila nilitaka kujua hivi ukichukua mchele contena la futi 20 laweza kukugharimu bei gani hadi linafika bongo maana nimesikia kuwa wao...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Habari za humu ndani ngugu zangu! Nadhani mlio wengi mtakuwa mna ufaham kuhusu hii taasisi ya mikopo inayoitwa VIKOBA,,kuna kitu nimekiona mtandaoni kuwa unaweza kupata mkopo ndani ya dakika 55...
0 Reactions
20 Replies
19K Views
Duka la vifaa mbalimbali na vyakula vinywaji na bidhaa za ndani linauzwa hapa Tabata Sigara, lipo eneo zuri na ni kubwa kwa thaman ya shiling millioni 8 ila maelewano yapo. Kwa kujiakikishia njoo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf, naomba kwa wenye idea au uzoefu ama wanafahamu bayana wanifahamishe kuhusu hii mifuko ya pensheni. Je, ni upi wenye manufaa zaidi na usumbufu haba kwa mwajiriwa inapofika...
1 Reactions
1 Replies
900 Views
Hey guys, Below is a list of online software product ideas, feel free to do what ever you want with them.You don't have to create the next Facebook or anything to be successful kwenye mambo ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
https://www.youtube.com/watch?v=WghL1THVvyE
0 Reactions
0 Replies
738 Views
https://www.youtube.com/watch?v=o5BKaDCda_0
0 Reactions
0 Replies
960 Views
wakuu ni nchi gani naweza kupata balo nzuri za mitumba na hadi contena la 20ft linafika bongo linaweza ku cost bei gani?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mambo ya pesa MBONGO Kwa kilingala Leo nilisikiliza asubuhi kipindi cha Pachanga time TBC FM. Kulikuwa na uchambuzi wa Wimbo wa TP OK Jazz unaoitwa Mbongo uliotungwa na mwanamuziki mahiri...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamani mwezenu na hitaji kupata mkopo kwa ajili ya kufanyia biashara, taasisi zote za mikopo ninazo zifahamu zina mashariti ambayo yananibana nishindwe kukopesheka. Tusaidianeni wadau, ukiona kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wajasiriamali tatizo kubwa ni kupata soko, pata suluhisho sasa: “get an effective marketing tool” itakayo kusaidia kutangaza biashara/huduma yako kwa kutuma bulk sms kwa watu wengi kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mambo mengine wananchi hatupendi kuyafanya lakini namna ya utoaji huduma kwa wateja wenu inatulazimu kuyafanya,tumereport ubovu wa metre ya Luku imechukua 3 good month kuja kubadilishiwa na...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
'' Ndugu Mteja, tunakutaarifu kwamba HATUTAKUWA NA MAREKEBISHO YA KIUFUNDI, taarifa zilizoenea si za kweli. Huduma zetu zote zitaendelea kupatikana kama kawaida'' - Tigo ==== Huduma zenu jamani...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Nimesoma na kufatilia dondoo kadhaa kuwa shilingi yetu inazidi kuporomoka kila kukicha bila hauweni. Kimsingi mm si mtaalam wa uchumi, nakumbuka mwaka 2009 nilienda Zambia na miongoni mwa vitu...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Huko ni bei gani kwa gunia/roba.Naomba kujuzwa bei ya mkaa huko Jijini Dar es salaam.
0 Reactions
41 Replies
17K Views
Habari zenu waungwana jukwani: Tangaza Marketing Solutions ni kampuni inajishulisha na advertising,marketing na promotions pia tunasaidia Wajasiliamari na Wafanyabiashara kusajili biashara kuanzia...
0 Reactions
0 Replies
737 Views
habari zenu wakuu, nimeajiriwa katika secta binafsi na ninamwaka mmoja sasa katika ajira hii, nimekuwa nikifuatilia habari za upatikanaji wa mikopo( hasa humu JF) na kwa taarifa ninazoziona ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…