Niko katika kutafuta ya mawe ya Sunstone.
Ikiwa wewe ni mwenye kuchimba au unayo sunstone na unaishi Dar es Salaam au Morogoro, basi njoo tuzungumze.
Offer hii ni ya muda , wahi tuzungumze.
ikumbukwe tarehe 9/6/0223 trc ilipokea mabehewa 6 ya ghorofa yaliyokarabatiwa na kamouni ya
Lückemeier Transport & Logistik ya Ujerumani na wakati wa mapokezi msemaji wa seriakli wa kipindi ndugu...
Habarini wakuu,
Ikitokea mtu amekupa mtaji labda wa shilingi millioni arobaini za kitanzania. Akataka kila mwezi katika kila millioni moja uumpe faida ya shilingi elfu arobaini ina maana kwa...
Habari zenu wadau .Ningependa kufahamu kwa wale amabao bado wana fanya biashara ya kirikuu(carry) (nikimaanisha kumpa dereva alete hesabu)
1. kama hii biashara bado inalipa au ni mauza uza tu?
2...
WAZIRI MAVUNDE NA WAZIRI MCHENGERWA KUKUTANA KUSHUGHULIKIA TOZO ZA HALMASHAURI KWENYE MADINI
-Hii ni Kufuatia Changamoto za tozo za Halmashauri zilizowasilishwa na wachimbaji Morogoro
-Waziri...
Habari zenu ndugu zangu wanajamii Forums
Natafuta day work yeyote kwenda na kurudi napatikana ukonga (DSM)
Accademic qualifications
Diploma in accounting and finance
Computer applications
Basic...
Habari za Weekend, naomba kufahamishwa kuhusu biashara hii ya Mafuta maana kusema kweli Mafuta ndiyo yanaendesha uchumi wa nchi. Najua JF ni kisima cha maarifa Hivyo nina maswali machache!
1)Je...
Nimetengeneza Mgahawa, napenda kufanya Biashara ya vyakula, nahitaji mtu mwenye ujuzi wa kupika, nawekeza mtaji, kazi yake ni kuleta ujuzi wake, tunagawana faida. Awe mvumilivu, Biashara inaanza...
Kiukweli fursa hii inamuhusu mtu yeyote aliye karibu na mjasiriamali haswaa mwenye uwezo wa kutumia simu[smartphone] au kompyuta [japo si lazima]. Kwa mjasiriamali mwenyewe soma barua yako...
Nataka kufanya biashara ya mayai ila nataka kununu DARESALAM kuyaleta Zanzibar. Itakuwa nauza jumla na reja reja
Na ombeni ushauri wema?
Je, niaze na mtaji wa kias gani?
Na je vitu itapata faida...
ipo hivi mimi ni mwalimu, mfanyabishara na mkulima , mimi ni mkopaji mzuri sana , nilikuwa na mkopo kupitia salary nilikopa 2019 NMB, nimekuwa na mkopo wa biashara nimekopa CRDB, kwa sasa...
Ukiona Mfanyabiashara hana bluetick ogopa sana huyo ni tapeli hata ukinunua mali kwake ukikuta mbovu jua ndio bye bye.
Kuna mstari mwembamba sana pia uliowatenganisha watu wanaoondoa bluetick na...
Habarini wakuu,naomba ufafanuzi juu hizi terms kwenye bond results za BOT🙏;NB;cc attachment below for refference
1. Weighted average yield-to-maturity
2. Weighted average coupon yield
3...
Huduma za PayPal barani Afrika kwa ujumla ni chache katika nchi nyingi, haswa linapokuja suala la kutoa pesa. Hata hivyo, idadi kamili ya nchi za Kiafrika ambako PayPal inazuia utoaji wa pesa...
Habar wakuu mm ni mpambanaji nimepata kazi namshukuru Mungu ,nimepangwa Wilaya ya Momba(,Momba Dc), kabla ya hapo nilikuwa nikipambana na mishe mishe nakapata kamtaji as 7 million , sasa naomba...
Wakuu habari
Kwa wale mnaofanya biashara zenu wenyewe ambao hamtegemei mshahara kutoka kwenye ajira za Serikali au private company..
Haya naomba mtuambie hapa, wewe na hiyo biashara yako...