Kama Unazfaham Shule Binafsi Za A-level Zenye Ada Nafuu Nitajie Iwe Ya Bord Kwa Wavulana Au Day,Husasa Ni Zile Zilzopo Mkoan Mwanza...Naomben Msada Wenu
Nb:itakua Vyema Kama Utanitajia Na Ada...
Jama ni shida kwa watumishi hasa sekta ya elim idara ya TSD walimu wana wakati mgumu kitu ambacho walimu hushindwa kufanya kaz na kuwa watu wa kuomba uhamisho kila Mara,ni wilaya isiyo zingatia...
Wakuu Naombeni Kwa Wale Wanaozijua Shule Nzuri Za PRIVATE...A-level Zenye Kiwango Cha Chin Cha Ada Na COMBINATIONS Ztolewazo Na Shule Husika.Zilizopo Mkoa Wa MWANZA NA MARA Mnitajie.
NB:Itakua...
Habarini humu, Kuna tetesi ambazo zinaonekana kama ni kweli hivi. Kwamba mwaka huu vyuo vya afya ngazi ya cheti na sitashahada kutakuwa na mitihani ya Taifa kutoka nacte., ila mpaka sasa ratiba...
Naomba kujua vigezo na aina ya mtu anastahili kupata heshima au tunuku kutoka vyuo vikuu kwa utendaji kazi na mchango wake katika jamii.Na kiongozi wa chadema Mbowe anaweza kupata heshima...
Jamani wana-JF nauliza kuku jogoo huwa ana uume? Katika jitihada zangu za kujifunza sijawahi ona uume wa kuku jogoo lakini cha ajabu huwa anapanda majike. Kama anao huwa upo sehem gani? maana...
Nina ndugu yangu anatakiwa kwenda Dakawa secondary school,,kwa mwenye rafk anaesoma pale au mwanafunz yeyote aliyepo hapo tayari ani PM bac namba yake,,natanguliza shukrani
Habari,nadhani wengi sio wageni na hako katopic,tumekuwa tukifanya sana midahalo kipindi cha primary hata secondary..ila sidhani kama hadi leo kuna muafaka uliopatikana kuwa kimoja wapo ni bora...
Wakuu!
Kuna ndugu yangu anataka kuomba Diploma ya Ualimu, anauliza watu wameshaanza kutuma maombi? Na kama wameanza mwisho ni lini?
Msaada kwa anaye jua.
msaada tafadhali Kwa wanafunzi wa diploma wa Bandari college ambao wanamaliza mitihani yao mwisho wa mwezi wa saba na wanataka kujiunga na ngazi ya degree ku apply kupitiya TCU ambapo wanamashaka...
Kuna mdau amenipigia usiku huu ili nimpatie maoni yangu. Kwa bahati mbaya, achilia mbali kutojua masuala ya Elimu ya Msingi kwa kina, hata mtaala huo mpya sijausikia.
Ikiwa kama unajua muundo na...