habare zenu wakubwa heshima kwenu mm ni kijana ambae niko certificate course ya accountancy ktk chuo cha utumishi wa umma nahitaji kufahamishwa kuhusu ni GPA gn nzuri ambayo mwanafunzi anatakiwa...
Rejea kichwa cha habari kuna watu wanachanganya mitaan wanasema unapomaliza Higher Diploma ya Masscommunication unasoma Degree miaka 2,mwingine anasema mengine naomba ukweli halisi wandugu
Kwa kuwa kilimo ndo sekta inayotoa ajira nying hapa nchin, je kuna umuhimu wa wizara na taasisi za elimu kutengeneza mtaara ambao utatumika kuanzia shule za msing ili watanzania waweze kupata ujuz...
Husika na kichwa cha habari hapo juu,mimi ni mhitimu wa diploma ya sheria niko mkoa wa lindi , napenda kupewa taarifa kwa mwenyekujua mahara zilipo ofisi za chuo kikuu huria kwa mkoa wa lindi...
Elim Ya Bongo Imekuwa Ikibadilishwa Mifumo Ya Usahihishaji Upangaji Na Matokeo Pasi Na Kuboresha Miundombinu Yakielimu,uchache Wa Walimu,madara Mabov Na Uhaba Wa Vifaa Havipatiwi Suluhisho,je...
JE WIZARA YA ELIMU, TUME YA VYUO VIKUU NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU JE MUNAJUA KWAMBA UNIVERSITY OF BAGAMOYO NI CHUO KIKUU CHA HOVYO KABISA?
Chuo hiki hakina hadhi na sifa ya kuwa na wala...
Habar wanajf,kwa mwenye kukifaham chuotajwa hapo juu incase of quality education,nacte registration na mengneyo kama hayo anijuze tafadhali,natanguliza shukran.
Nimeskia kuna baadhi ya waalim waloajiriwa mwaka huu wamerudi makwao kwa kukosekana fedha za kujikimu katika wilaya walikopangwa. Lengo la serikali kwa vjana hao lilikuwa ni nini?
Je ni sahihi...
ni binti yangu mwenye umri wa miaka 7,anasoma darasa la pili ktk shule moja ya watoto akina sie "kajamba nani" (watu wa kipato cha chini).
pichani ni mtihani wake wa somo la sayansi alio ufanya...
Mkuu wa shule moja mkoa wa Pwani wilaya ya Bagamoyo kwa muda mrefu amekua akishindwa kumchukulia hatua za kinidhamu mwalimu mmoja wa kiume mwenye tabia za kuwadhalilisha wanafunzi wa kiume kwa...
Hello WanaJF nimeingia Websites ya Nacte Ila naona guide book ya bachelor degree hainiwezeshi niidownload kama Kuna Mtu amefanikiwa kuipata Au kuidownload. Naomba anisaidie
Wasalam wanajf.
mimi nimemaliza form six 2011 nilipata Economics-D,Geography-E,na A/maths-E,Gs-S.Div III-14.je naweza kupata kusoma ardhi university nikapata mkopo?
Naombeni mnisaidie...
Jamani naomba mnijuze karika guide book ya nacte 2014 katika vyuo katika sehemu ya fees kuna baadhi ya vyuo pamejazw lakini vengine hapaja jazwa nauliza vile ambavyo havija jazwa ndo vina loan...
Goi Peace Foundations International Essay Contest of Prize 100,000 Yen for Young People: Celebrating the 70th Anniversary of UNESCO
Deadline: 15 June 2015 The Goi Peace Foundation is currently...
Wadau mimi nimemaliza form 6 mwaka 2011 nimesoma EGM nikapata economics-D,geography-E,A/maths-E,na G/s-S.sasa je naweza kusoma ardhi university nikapata mkopo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.