Ninafundisha chuo somo fulani na huwa nakwenda vyuo vingine kufundisha part-time, ila kwa kweli visa vya wanafunzi wa kike vimenilegeza kabisa! Yaani utakuta unatoa lecture lakini unakuta mtoto wa...
Wadau nimetafuta kazi mpaka nimechoka sasa, naombeni mnipe mwanga kidgo kuhusu post graduate ya Ualimu.
vipi hawa huwa wanapangiwa kama walimu wengine? kuna waliopangiwa kwa mwaka huu wa 2015?
ni...
Akijibu hoja za wabunge Waziri Wa nchi ofisi ya Rais Utumishi Wa Umma Mhe. Selina Kombani amesema Serikali inampango wakuajiri idadi hiyo ya walimu mwaka ujao Wa fedha.
Hivyo nitumie fursa hii...
Mimi ni kijana wa kitanzania niliemaliza kidato cha sita mwaka huu (2015) combination ya pcb
katika maisha yangu ndoto zangu kubwa ni kwenda kusomea nje ya nchi ikibidi hata kuish huko...tatizo ni...
Gateway to Science Group is an academic group founded by 8 students from the University of Dar es salaam with the core aim of authoring the science and mathematics books for high school students...
Nataka nikasome diploma ya nersing na badae nibadilishe kozi nichukue degree ya kozi kama MD,Lab technology etc. nikifika university. Je inawezekana wakuu.
Nimemaliza kidato cha nne, nina C-History,B-Kiswahili na D tatu za masomo megine, nilipata kwa double seating, nahitaji kujiunga na chuo cha mafunzo ya ualimu, je naweza kupata vyuo vya serikali...
Hivi kiwango cha chini cha GPA ya Diploma ya Ualimu ya kujiunga na University ni GPA ya ngapi? Na je,kama haujaifikia( hiyo GPA) nini cha kufanya ili ujiunge degree?
waheshimiwa habari zenu? nimekuwa nikifikiri sana kuhusu jambo moja kuhusu elimu ya TANZANIA nikaona ni vyema ni washirikishe "kiukweli elm ya tanzania inashuka kutokana na asilimia kubwa ya vjana...
habari wana jamii forum.....mimi ni binti niliyemaliza chuo mwaka jana....na nikahitimu masomi yangu ya stashahada ya computer science na kupata matokeo mazuri tuu ya first class.....
Mpaka sasa...
Machali saf sana machal anaizungumzia cwt jinsi inavowazingua walimu......
walimu wanalazimishwa kuwa wanachama wa cwt na wanakatwa pesa.......wanaotaka kuanzisha chama kipya bado msajili wa...
Habari za jioni wakuu ... Kuna huyu ndugu yangu anapenda kusoma comb ya HGK sasa msaada ninaohitaj ni kujua je anaweza kusomea kitu gan chuoni ambacho kitakuwa na ajira yenye malipo mazuri kwa...
Wakuu nimezaliwa na kukulia mwambao wa ziwa nyasa.
Leo nimetafakari sana mstakabali wa profesheno niliyonayo, hakika haitasaidia taifa langu hata kidogo. Hapa ninawaza, kwa kuwa shuguli kuu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.