Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habarini wadau, Kuna hilo swali hapo juu naomba wadau kwa uelewa wenu mnisaidie kujibu. Kifupi ni kuwa "utatembea umbali gani kutoka mashariki mpaka magharibi mwa dunia?
0 Reactions
24 Replies
3K Views
How i can predict the future? What are the political future of Africa?
0 Reactions
2 Replies
808 Views
Ndugu zangu, jana niliona wanafunzi wa chuo kikuu cha St. Joseph wamegoma na kufukuzwa chuo, leo hii wanafunzi wa UDSM nao wamegoma...! Hivi hasa tatizo liko wapi? Na kwanini hili suala la mikopo...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Hali ya taharuki I metanda tenda Leo katika viunga vya UDOM kitivo cha walimu wakiendeleza maandamano ya kudai kupewa pesa ya chakula na malazi. polisi wamemwagwa kama Karanga lakin hawajarusha...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Waalimu wapya wengi hawajapewa hela ya kujikimu kuna uwezekano mkubwa wa watu kutopata mshahara mwezi huu. Na wengi na wameambiwa warudi wa7 shule zitakapofunguliwa. Na kuna tts kua mshahara...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
UDOM (COed) hali ni tete tangu jana maana wanafunzi wamegoma kuingia madarasani wakidai pesa za kujikimu, tatizo la Bima za afya(100,000 kila mwaka) pamoja na ufisadi wa pesa za UDOSO uliofanywa...
0 Reactions
43 Replies
10K Views
kama nilivyo eleza hapo awali mchango wenu ni muhimu! kinacho hitajika ni ushauri tu kama kuna uwezekano wakuaply ualimu zen uka aply kozi za afya! santeni
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vituo hivi vilianzishwa kwa lengo la kuboresha ufundishaji na ujifunzaji katika shule zetu. Pia viliwajibika kusaidia jamii iliyo karibu kwa kujiendeleza kitaaluma (QT, CSEE, ACSEE n.k.) na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Hebu tujadili pengo lililopo kati ya mitaala na ufundishaji halisi. Mwanangu yuko la pili. Daftari lake la stadi za kazi limejaa notes juu ya namna ya kutengeneza vitu mbalimbali. Leo kasoma somo...
0 Reactions
2 Replies
11K Views
Mgomo wa udsm jana umetufundisha jinsi nchi hii bila mgomo huwezi kupata haki yako ya msingi maana tulishuhudia serikali ikiwambia wanafunzi kuwa haina fedha lakini baada...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mechanical Engineering Civil Engineering Electrical Engineering Course tajwa hapo juu, ndizo zilizo zalisha course nyinge za Engineering. Mfano unapozungumzia Architectural amezaliwa na Civil...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
ADVANCED MICROSOFT EXCEL TRAINING FOR PROFESSIONALS:- Do you aspire to become more Competitive in your work? The Global Business Consulting (GBC) is a solution to your career aspiration in terms...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nawasalimu ndugu zangu nkiamini ni wazima wa Afya,Mimi ni mwanafunzi wa Mwaka wa kwanza chuoni ni nimekumbana na hii hali ya kwenda kujitaftutia NOTES pekee yako,sasa Ma Leturer wamekuwa wakitupa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wenye kuona huruma na wawasaidie wanafunzi kufikisha malalamiko yao eneo husika maana naona serikali iko kimya na iko busy dodoma kutafuta miaka mingine kumi ya kula.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau kuna ndugu yangu alikuwa anasoma chuo, kwa bahati mbaya alidiscore semister ya kwanza. Kutokana na kugazibika hakutoa taarifa bodi ya mikopo kuwa amediscore ili wasitishe mkopo. Naomba...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari! Ninaomba ushauri je masters gani nikisoma itaniwezesha kujiajiri na kuajiriwa.Msaada wenu ni muhimu na Mungu awabariki,nina B.A.Education. Asanteni!
0 Reactions
2 Replies
917 Views
Jamani naomba wanajamvi mwenye uwezo wa kufikisha hili maala uika alifikishe maana hali ni mbaya sana vyuoni watu wanalala bila kula na wengine mlo mmoja kisa pesa hakuna. Na hii imepelekea badhi...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wana JF ninaomba maelekezo kuhusu Foundation Course na jinsi ya kujiunga na hiyo Course.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kassim Majaliwa, Deputy Minister Prime Minister's Office Regional Administration and Local Governments responsible for Education The government has confirmed plans to centralise capitation grant...
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Siri ya Sifuri,...... MZIMU WA WATU WA KALE..... KISIMA CHA GININGI....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom