Habari wadau?
Nimekaa nakutafakari mwenendo wa serikali yetu hii tokea mwaka huu 2015 ulipoingia. Mwanzo kabisa walikuwa wakisua sua kutuajiri kwa kile kilichoelezwa kuwa serikali haina pesa za...
nawezaonganisha soma dip one hapa nko certifcate ya librarianship je naweza omba kwa kutumia matokeo ya semister 1 coz bado cjamaliza semister ya mwisho nna matokeo ya semister one tu, msaada vyuo...
ICT in Education cannot and should not be divorced from the larger national development strategy including schools.
Nyie wadau wenzangu mnasemaje katika hili??:A S-rap:
Hellow teachers..
Kumekuwa na vikwazo vingi vinavyowekwa na serikali hasa kipindi hiki cha uchaguzi katika suala zima la Utoaji wa ajira za walimu.. Mara utasikia walimu wa arts hawahitajiki...
Habarin Wakuu...
naomba kuuliza kama kuna chuo cha Clinical Officer mkoani Mbeya au Iringa(mjin)...Binafsi nimeulizia nimeshindwa kupata jibu.Nishaapply vyuo vtatu vya serikali mtandaoni,lakin...
Habari zenu wapendwa...
Baada ya grade mpya kuanzishwa mwaka 2014 vijana wengi walijikuta wakipata E kwenye masomo muhimu katika combination...mfano history na physics.Serikali haikutoa waraka...
Mimi ni mwalimu daraja 3a nataman kupanua wigo wa elimu yangu lakini sijatimiza sharit la kupewa ruhusa kwenda kusoma.nimesikia kuna couse ya foundation ambayo naweza soma nipo kazin je cozi hii...
By Marco Polo
JAMANI NAOMBENI MSAADA,
NIMETUMA 50000 NACTE KIMAKOSA LENGO LILIKUWA KUTUMA KWENDA TCU,
NACTE WAMENIAMBIA NIMTAFUTE MTU ANAYETUMIA DIPLOMA KU APPLY DEGREE KUPITIA NACTE...
Ndugu wadau wa elimu kiukweli nacte wamewachanganya walimu walioomba kujiunga na ordinary diploma. Walioapply waliambiwa watajiunga na masomo mwez wa nane na barua zao za kuingia kwenye mpango ktk...
huuu ndo mtihani wa mwanafunzi wa mwaka wa tatu........!!! kwa computer science kwa hali hii kweli tutafika....... ingekuwa pouwa sana kama serikali itavifungia vyuo vya kizembe kama hivi coz...
Habarini wadau
Naomba kujuzwa iwapo mwanafunzi alirisit mtihani na kupata credit 1 na awali alivyomaliza form four alikuwa na credit 2, sasa ana vyeti viwili je inawezekana kuunganisha matokeo...
Habarini
Wakuu nilikuwa naomba kuuliza kwenye kujua kozi tajwa hapo juu inayotolewa UDOM zaidi inahusika na nini na mtu anaehitimu hapo anaenda kuwa nani huko kazini?
Pia vipi kuhusu ajira...
Licha ya jitihada zilizofanywa na naibu waziri wa afya na mkuu wa mkoa wa Dodoma kuwatuliza wanafunzi wa kitivo cha elimu wasigome na kwamba Serikali yao sikivu itafanya kila jitihada kuhakikisha...
Jaman wana jukwaa naombeni msaada kwa ataeweza kupata tarehe ambapo matokeo ya kidato cha nne yalitolewa kwa miaka ifuatayo
2010,2011,2012,2013 na 2014
na pia kama ukiweza kupata hoja na...
Ndugu zangu mdogo wangu kachaguliwa stashahada ya elimu maalumu msingi chuo cha marangu. Tatizo ni kila akiomba ruhusa anaambiwa apeleke joining instrsction.
Tafadhari mwenye taarifa ya link gani...
Natamani kusoma MBA(Masters of business Administration) Finance and investiment.
Naomba ufafanuzi kuhusu soko la ajira au kujiajiri, changamoto zake na faida zake.
Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.