Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Rais wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu dodoma dogo John ambaye pia ni rais wa Tahliso apinduliwa rasmi leo kwa kushindwa kuwatetea wanafunzi anowangoza na mapinduzi hayo yamefanywa na wanafunzi...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa na ndoto katika uhalisia kuja kumiliki chuo kitakachokuwa kinatoa kozi mbali mbali katika ngazi ya Certificate na Diploma. Kozi hizo ni:- -Uhudumu Wa ndege. -Uhudumu wa...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
habari za Leo wana jf....!..hivi mtu mwenye degree ya nursing midwifery anaweza kubadili taaluma na kusomea M.D...?....msaada!
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Nawasalimu wote humu ndani! Mimi ni mgeni naomba mnipokee, japo mara nyingi huwa napita kusoma. Naomba msaada kwa wanaofahamu jinsi ya kujiunga na Post Graduate ya Education , Open University...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hope mko na jumamos njema wana jf..mim nataman sana kwenda kusoma harvad hasa masomo ya sheria katk ngaz ya degree(LLB/JD),Naomben ushauri wenu wadau
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Walimu Waliokosa Ajira Awamu Ya Pili Walifurika Leo Makao Makuu Tamisemi Dodoma Na Katika Tawi La Tamisemi Daresalaam Wakilalamika Kuachwa Kwa Mara Ya Pili Tena.. Unadhani Nini Tatizo? Au...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Jamani, sie walimu wapya tunapewa lini hela ya kujikimu na mshahara wa mwezi wa tano? Maana tumeshariport kazini, hali ya kiuchumi sio nzuri, tunaomba kufikiriwa.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kuna mdogo wangu anataka kujiunga na institute of social work sasa hiki chuo hakina course hata moja ambayo ni priority sasa akijiunga na hiki chuo si ndio majanga. Kakipenda but ndo hvyo...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
AFRICAN BRIDGE TO EDUCATION By Alex John Luketa Virginia International University students and alumni are passionate about business, technology, innovation, and bringing change to their...
0 Reactions
0 Replies
742 Views
Jamani kumekuwepo upotevu wa nyalaka,vyeti na mafaili mashuleni na vyuoni sasa jambo hili lifikie mwisho kwa kuhifadhi nyalaka kielectronic na sio mafaili tena,tunalitegemea hili kufanikiwa chini...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
wadau tuwafichue na kuwataja watumishi wa vyuo mbalimbali ambao wamekuwa ni kero kwa wanafunzi kusoma na kujipatia elimu iliyo bora...m nlisoma ifm jamani watumishi wa pale wanaringa kama...
0 Reactions
1 Replies
865 Views
Habari wakuu,nakusudia kumpeleka mdogo wangu ajifunze vizuri kiingereza cha kuongea na kuandika.Naomba ushauri wa sehemu gani nzuri naweza kumpeleka ukiaachana na British Council.Pale nimeona...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kama kweli tunajivunia kuwa na vyuo vikuu vingi na tunatoa wahitimu wengi kila mwaka, inakuwaje sasa mambo hayaendi vizuri hasa kimaendeleo hapa nchini Tanzania?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau inawezekana mtu kusoma degree ya journalism&mass comm.kama alisoma PCB advance
0 Reactions
8 Replies
5K Views
habari zenu wakuu,ninatatizo moja hapa linaniumiza kichwa mno. suala ni kwamba nimemaliza diploma ya Computer Science and Engineering na ufaulu wangu ni 3.3GPA.Mwaka huu nataka kuapply bachelor...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Najua humu kuna walimu wa ngazi mbalimbali na wenye elimu na uzoefu kutoka seheme mbalimbali. mimi ngependa kujua kwanini taaluma ya ualimu ni tofaut saana na taaluma zingne kama sheria na...
2 Reactions
23 Replies
10K Views
Wana Jf, habari zenu. Niko katika pilikapilika za kutafuta chuo cha certificate kwa ajili ya mdogo angu. Sasa nikawa nimefika Tengeru Arusha ili kuchek uwezekano. Baada ya kufika Tengeru...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Join us July 27 – August 14, 2015 for our Summer Institute in Management and Business Administration! This program is our flagship summer program aimed at providing participants with...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Example of Hypothesis title; Wanafunzi wanaosoma usiku wana faulu zaidi mitihani yao kuliko wanafunzi wanaosoma mchana, nitakuwa na (Null Hypothesis (Ho) (P<0.001, P<0.01,P<0.05)) na (Alternative...
0 Reactions
0 Replies
623 Views
1.Fungua akauti NMB,mshahara wako utapitia benki hii.2.Ripoti mapema(tarehe za mwanzo).Jaza fomu utakazopewa na mwajiri kwa usahihi.3.Ukishajaza fomu, zikabidhi kwa wahusika(wengine wanaondoka...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom