Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

habarin wanajamvi. naombeni mnisaidie namba ya simu ya prof mlacha wa udom.asanten sn
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Wakuu kuna hii kozi ya bachelor of science in aquatic science and fisheries, inayotolewa hapa UDSM.. Naomba kujulishwa kuhusiana na soko lake la ajira lipoje.? Hususan kwenye kuajiriwa na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
habari wansjamvii naombeni msaada kwa yeyote mwenye aina yeyote ya mawasiliano kwenye chuo cha mifugo peramioo
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tofauti ya Mass na Weight???
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nimejaza formu ya mdogowangu ya mkopo onlline na kuimaliza kabisa lakini sasa nimekutana na jambo la ajabu nikitaka kuiprint naambiwa sijamaliza kucomferm post form four exams, nikienda kwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini vijana wenzangu,poleni na mchakato mzima wa ujazaji hizi fomu za helsb kwakuwa zimekuwa na changamoto tofauti. Sasa kwa wale ambao katika fomu wamejaza details zao na kisha ku...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Usemi hu ni kweli waungwana
2 Reactions
190 Replies
26K Views
Habarini Wakuu nilikuwa naomba kuuliza kwenye kujua kozi tajwa hapo juu inayotolewa UDOM zaidi inahusika na nini na mtu anaehitimu hapo anaenda kuwa nani huko kazini? Pia vipi kuhusu ajira...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Jaman wana jf naomba mnsaidye tofaut kati ya izo coz mbili
0 Reactions
8 Replies
6K Views
wadau nmekosea kujaza fomu online ya bodi ya mikopo na nmeshaprint naombeni msaada wenu tafathali namna ya kuedit
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ujira wa assignment dunia ya elimu ya bure Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchuuzi: ni hivi kuna vilaza luluki wanaolazimisha elimu bila ya kuwa na maarifa sasa hapo imejotokeza nafasi ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika mamlaka ya Serikali za Mitaa. Kwa Maelekezo zaidi tafadhali soma taarifa...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Kwenye tangazo la vijana wa kujiunga JKT wanaseme waende na vyeti vya kuzaliwa na Living za form six. Sasa mjomba wangu alikuwa na haraka akasahau kuchukua living. Je asipoenda nayo watamrudisha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwanasheria mkuu wa chuo kikuu cha Dodoma ameandika barua ya kuacha kazi ndani ya masaa 24. Hii imetokana na yeye kushindwa kuendelea kuvumilia kitendo cha uongozi wa chuo hicho kuwa na tabia ya...
2 Reactions
30 Replies
9K Views
Habarini wanajamvi, Kwa ufupi ni kuwa mdogo wangu alimaliza form six 2014 na kupata division one ya points 7 PCM,lakini kutokana na alipata kikazi cha kujishikiza kidogo akaamua kuto aplly mwaka...
0 Reactions
27 Replies
12K Views
iv umeandika no ya kituo ulichorisit bila kukoxea af kwenye fom center inaandika PRIVATE badala ya jina la kituo????????????????
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nisaidieni jamani maana nimechaguliwa huko form five
0 Reactions
21 Replies
14K Views
Jamani nilikuwa naomba msaada kama Na sisi JKT inatuhusu tuliomaliza vyuo vya Ualimu Na kama kuna mtu alisomea pale Chuo cha Ualimu Singida ajitokeze
0 Reactions
21 Replies
4K Views
H
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau nimekuja kwenu leo, kutaka majibu ya maswali yaliyokuwa yananitatiza kwa kipindi kirefu. Na pia nimeamua kumwaga hoja hii mbele yenu nikiamini kabisa kuwa hapa ni mahala sahihi kwa kila...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Back
Top Bottom