Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habar wana JF nauliza hasa kwa mtu aliyejaza hii form ya mkopo kwa ajili ya program maalumu ya ualimu(diploma in sc/mathematics). Kuna sehemu ya kujaza haina form IV. Ina form 6, diploma na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nikweli chuo cha mwalimu nyerere memorial huwa kinapewa priority ya mkopo kwa kozi zote mpaka human resource?.Maana mwaka huu naona course zote zna priority
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Zishatoka tayari kama hujapata tena no way mshukuru Mungu tu kwa kila jambo. Na kama umepata rudi hapa useme asante Mungu. USHAURI: Nendeni mkafanye kazi!
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Habari ndugu zangu! Tunafanya admission ya kimasomo nchini India (Bangalore university) kwa course za arts, science na biashara, kwa ngazi za diploma, degree na masters kwa mwaka wa masomo...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari naomba mnisaidie vyuo ambavyo vinatoa pre university courses/short courses kwa ajili ya kujiunga na university especially engineering,computer science,applied statistics,natural science.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ndugu wanajamiiforum; Nimepitia kwenye website ya 'MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING' pamoja na ile ya NACTE nikakutana na majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kozi za ualimu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama unafahamu chochote kuhusu shule ya sekondari Mwenge Singida samahani tupia apa au unaweza nipm au 0683776379
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Nahitaji mawazo yenu guys naandaa novel inaitwa TANZANIA IN 2115 itahusu maendeleo ya teknolojia, siasa na uchumi miaka 100 ijayo. Nakaribisha, Maoni, ushauri, nk
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kama majina yametoka nisaiden kuyapata
0 Reactions
7 Replies
14K Views
Tafadhalini wadau naombeni msaada wa chuo cha serikali au private ambacho kinatoa Public administration kwa ngazi ya degree.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar wakuu, natafuta vitabu vya review advance, bios one and two, na chemistry one and two kwa sh elf tano kila kimoja, natafuta vile used ili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakati vita ya kupambana na ufisadi ikisonga kwa kazi nchini Tanzania kumeibuka kijana mmoja ambae ni fisadi zaidi ya wale wa Richmond, EPA na ESCROW. Kijana John Fransisco Nzilanyingi ambaye ni...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Habari za majukumu wana Jf,naombeni mwenye soft copy ya kitabu Cha history kiitwacho MASTERING MODERN WORLD HISTORY BY NORMAN LOWE, edition yoyote ile namaanisha au edition ya kwanza hadi ya tano...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi kwa wale wanaomaliza form 4 bongo then wanaenda kenya chuo kuchukua degree wanaskip 5 na 6 inaleta shida yoyote katika ajira?
0 Reactions
1 Replies
883 Views
Endapo wanafunzi watalipa nauli za wakubwa kwenye dala-dala, mojawapo ya faida ni kwamba: HAWATA ACHWA KABISA VITUONI NA USAFIRI WAO UTAKUWA NI WA UHAKIKA. Je upande wa HASARA ni nini? Kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu Dodoma ndugu John Francisco ambaye pia ni rais wa Tahliso apinduliwa rasmi leo kwa kushindwa kuwatetea wanafunzi anowangoza na mapinduzi hayo yamefanywa na...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Naomba kujua hivi kidato cha sita wasioona majina yao kwenye kambi yoyote ndio awamu ya pili au majina yote yatatoka kwa maana hakuna awamu mwaka huu? Tusaidiane jameni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wapendwa. Mimi ni Mtanzania ambaye nimebahatika kumaliza elimu ya Sayansi ya Kompyuta (BS CS) katika chuo kikuu kimoja hapa Tanzania. Mimi siyo mwalimu kwa taaluma (professional) ila...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Ni kweli kuwa mshahara wa kwanza lazima uupokelee mkononi kutoka halmashauri? Namaanisha kuwa mshahara wa kwanza kabisa hauingizwi kwenye account yako?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar yenu wakuu? Mimi ni form 6 leaver nimesoma CBG natafuta nafasi ya kuwa mwalimu wa tempo katika shule yoyote kwa masomo tajwa hapo juu.kwa anaefahamu shule inayohitaji plz msaada anambie
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom