Habari Wakuu,
Jamani kijana wenu nafanya mpango wa ku-Apply chuo kwa mwaka huu wa 2015/2016. Nimekaa chini na kufikiri baada ya kufanya ka-research kidogo nikaja na mpangilio huu...
1...
jamani tunaombeni msaada wa maelekezo jinc ya kuandika barua kwa tcu kwa wale ambao tulichaguliwa vyuoni mwaka jana na kushindwa kulipot kwa sababu mbalimbali ijapokuwa hatukulipoti kwenye vyuo...
najarib kufanya tafti juu ya effective applications of newly enacted labor laws in Tz, specifically in public sector ili kuona ni kwa kiasi gani zimefikia malengo ya kutungwa kwake na pia zimeleta...
Habarini wadau naulizia vyuo vizuri vinavyotoa Course ya Graphic Designing kwa Dar es salaam hasa kwa package za Adobe au hata nyingine km ni nzuri zaidi ya adobe na gharama za course zenyewe au...
Wakuu habari zenu
Nina shida na namba ya mkuu aliyetajwa hapo juu. Nataka kumpeleka ndugu yangu hapo hivyo nataka nifanye nae mawasiliano nijue cost zake.
Asante
Tunatoa mafunzo ya computer Kama ACCOUNTING (sage,Tally,quickbook)NETWORKING, WEB DESIGNING ,GRAPHIC DESIGNING ,VIDEO EDITING kwa bei poa tunapatikana Karibu na Temeke Hospital .karibu
Hatimae serikali imetoa kauli kuhusu walimu wapya ambao hawajapata salary yao ya mwez 5. Swali liliulizwa na Mh. Rage mbuge wa Tabora mjini akitaka kauli ya serikali kuhusu walimu wapya...
ACCOUNTING PACKAGES TRAINING
GLOBAL BUSINESS CONSULTANCY (GBC)
Do you aspire to become a good accountant equipped with the knowledge of Computerized Accounting?
If yes, the Global Business...
Jaman Wana Jf
Kwa Aliyebahatika Kusikiliza Hotuba Ya Waziri Wa Elim Siku Ya Maadhimisho Ya Elim Mwaka Huu Yaliyofanyika Dodoma! Je? Nikweli Kwamba Wazili Alitangaza Kwa Wahitimu Wa Kidato Cha...
Hi all!Baada ya kusoma thread hii: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/376724-2012-the-year-in-books-your-top-ten-list.html nimegundua kua kuna watu wamesoma vitabu nilivyo...
Wadau habari zenu
Nimepewa taarifa na rafiki yangu kuwa wale wote waliohitimu mafunzo ya ualimu watajiunga na JKT soon. Je, habari hizi ni za kweli?
Msaada tafadhali
Habari wadau,
Kwanza kabisa mimi ni member mpya.Leo kuna mtu kaniambia wale wote waliohitimu mafunzo ya ualimu (mei 2015) watajiunga na JKT. Je, taarifa hizi zina ukweli wadau?
Wadau naomba kuuliza, kwasasa nipo mwaka wa kwanza open university nasoma,
ba-natural resource assessment and management (ba-nram)
naomba kujua kwa wajuzi nikiomba mkopo kwa mwaka wa pili kwa...
Wana JF,
Mimi nimemaliza kidato cha nne Shule ya day nmefaulu vizuri nangojea post 2, ila ninao Ugonjwa wa kutokusoma bila kutumia simu yangu, nikishindwa kitu kidogo tu ninagoogle kiukweli simu...
habari wadau kwanza kabisa mimi ni member mpya.leo kunamtu kaniambia wale wote waliohitimu mafunzo ya ualimu(mei 2015)watajiunga na jkt.je taarifa hizi zinaukweli wadau?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.