Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari wanajamii, kuna habari ambazo wanachuo wanaosoma katika vyuo vya kilimo kwa ngazi ya cheti kama mati Uyole, Tumbi, Ilonga, Ukiruguru, Mlingano, Mati Mtwara na vingine kwamba wanapotarajia...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Nipo mkoa wa Tabora wilaya ya KALIUA kata ya usinge na kituo kipo centre nataka kwenda iringa, /mbeya. katika wilaya yoyote. nitafute kwa PM MESSEGE AU +255763930623
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwishoni mwa mwezi wa tank serikali kupitia wizara ya afya ilitoa barua ambayo ilikuwa ikielekeza kuwa mwaka wa masomo 2015/2016 serikali haitahusika kutoa chakula kwa vyuo vyote vya diploma hapa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
im about to graduate at the university of dar es salaam, taking B.A.with education specialised in Fine art and Geography . capable of teaching - drawing techniques( pencil pen color pencil etc.)...
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Wadau, katika kupitia brochure ya TCU, nimeona kuna vyuo vinatoa course ya Bachelor of science in civil engineering na vingine vinatoa Bachelor in civil engineering, na Bachelor of engineering in...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Salaam, Wadau mimi nina Advance Diploma in Journalism nataka mwaka huku nisome Lugha ya kigeni, Je ni lugha gani ambayo kwa Tanzania inasoko sana Mf ;Kijeruman,kifaransa,kihispania na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ivi inawezekana chuo kikuu kujitoa na registration ya TCU? Alafu inakuwaje kwa Graduates wao wakienda nje ya chini wakitaka ku apply maana si inabidi vyuo vya nje virudi huku ili kupata usahihi wa...
0 Reactions
60 Replies
12K Views
Habari zenu wakuu na shughuli za kujenga nchi, ningependa kuuliza, Je, unaweza kusoma bachelor ya civil engineering then master ukasoma petroleum engineering? Natanguliza shukran kwenu
0 Reactions
6 Replies
3K Views
ACCA tution providers
0 Reactions
4 Replies
5K Views
chuo kikuu cha kampala international university leo saa 9;00am wanafunzi wamefanya mgomo wa kufanya course work baada ya kungundua kuwa matatizo yao hayajatatuliwa wakiwa wanaililia serikali ja...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana jamii Forums nawaomba ushauri wenu. Mimi nina Binti yangu amemaliza kidato cha nne mwaka huu na hivyo nataka kumtafutia shule binafsi za wasichana za A level. Naomba mnishauri...
1 Reactions
19 Replies
7K Views
Kuna ndugu yangu anamaliza diplom ya civil engineering mwaka huu. Anataka aunge degree. Sasa anataka aombe mkopo lakini tatizo ni sehemu ya kuambatanisha cheti cha diploma, vyeti bado na mara...
0 Reactions
2 Replies
980 Views
Washikadau/Watangazania/Wadau wa Mambo ya elimu msaada tafadhali: Kuna dogo amemaliza Advance Diploma in Journalism, Je ataweza kusoma ngazi gani inayofuata ? Wafuatao walikuwa na mtazamo tofauti...
0 Reactions
0 Replies
972 Views
kama wewe ni mpenzi wa kusoma vitabu tafadhali tafuta sana kitabu cha (robert kiyosaki-rich dad poor dad) kitakuwa msaada sana hasa kwa wale wanaowaza kujiajiri. kitakupa mbinu za kufanya uweze...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana bodi heshima kwenu. Wakati nafuatilia mchakato wa uhamisho, nimekutana na somo tajwa hapo juu, hali iliyopelekea kuleta hoja hapa ukumbini ili tuwe na mjadala wa wazi mwisho wa siku tuwe na...
0 Reactions
7 Replies
16K Views
Wadau heshima mbele.. Naomba kujuzwa shule nzuri ya wasichana ambayo wanafundisha Combination ya PGM. Binti yangu amefaulu vizuri Form IV na ufaulu wake unamuwezesha kusoma PCM au PGM. Kwa sasa...
0 Reactions
25 Replies
9K Views
Jamani wakuu, kuna hizi course mbili "bachelor of education in science na bachelor of science with education" nashindwa kuelewa tofauti yake hasa katika "fields of work" kwa walozisoma.Yeyote...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Asanteni wadau wote kwa kuwa pamoja kipindi chote cha kusubiria ajira,kama nilivyoandika hapo juu namshukuru Mungu kupata fursa ya kufundisha shule kongwe ya wilaya ya Ruangwa,naahidi kufundisha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Imekuwaje Mkatuacha Njaa Kias Hicho?Badiliken Tunauana Ivo Jaman!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar wana jf,nauliza kwl wale waliopata chuo mwaka jana lakn hatukuenda wala kuandika barua hatuwezi pata Chuo mwaka huu??? Plse mwwnye uelewa au km kuna mtu yamemtokea haya aje atushuhudie!!!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom