FORM FOUR (CSEE) - PAST PAPERS - Chemistry (Revision made simple)
Aim to excel in your exams by studying the CSEE past papers. If you study them diligently then you will be confident of passing...
Sasa hali ni tofauti katika chuo kikuu cha kimataifa cha Kampala yabainika ujinga umefanywa na selikali kuu, ni baada ya bunge kuingilia kati, mengi yaibuka. Waziri wa elimu aropoka bungeni hoja...
Hii halmashauri ndio halmshauri inayoongoza kwa ufisadi hususani katika elimu, halmashauri hii wamechangsha tshv3000 kwa kila mwanafunzi wa serikal na sh 18000 kwa kila mwanafuzi wa shule binafsi...
St.Joseph wametoa selection zao cha ajabu wale walio_apply campus ya Arusha majina hayapo,
Kingine hii campus haikuwepo kwenye guidebook ya TCU but during 2nd application waliiweka.
Hivi kweli hii...
wanafunzi wengi wanaojaza fomu za mikopo wanakumbana na tatizo la kutoweza kuprint form zao baada ya kulog out kisha kuja kuiprint baadae. mimi binafsi nimekumbana na tatizo hilo na hadi sasa...
Wakuu habari.
Naomba mwenye kufahamu chuo kinachotoa Post graduate diploma in IT au ICT anijuze na ada yake na muda wa course na mode of study kama ni full time au on line.
Asanteni Sana!
Nimesikia Bungeni Naibu waziri Mh.Majaliwa Kassim akijibu swali la mbunge aliye taka kujua mpango wa serikali kuhusu suala la makazi ya Walimu katika maeneo ya makazi;alijibu kuwa serikali inatoa...
Kufuatia kushamiri kwa matumizi ya dola ya Marekani Nchini, katika nyanja mbalimbali, kwa mfano sasa hivi shule nyingi binafsi zimeendelea kulipisha wazazi karo za shule kwa njia dola.
Leo katika...
kichwa cha habari hapo juu chajieleza chenyewe, jisomee mwenyewe hiyo attachment uone madudu. Huyo ni mwanafunzi wa chuo kikuu kaandika paper hapo na anataka apewe maksi.
Kumbe cuba iko africa.
Wanajamvi naombeni msaada kwa anaye fahamu chuo kinachotoa distance learning ya masters ya Procurement and supplies management?kwa tanzania tu au kilichopo kwenye mchakato wa kuanzisha distance...
Nmeaplai mwaka jana chuo kikuu nmepangiwa ila nkakosa mkopo nimeaplai upya mwaka huu nambiwa nidhitishe kwanza mm co mwanafunzi wa chuo nlchopangiwa mwaka jana, naombeni wandugu mnisaidie cha...
Jamani yeyote anaejua chuo kinachofundisha wakufunzi wa vyuo vya ualimu(special program) ya miezi 3, naomba anisadie. kipo wapi hiki chuo na taratibu zake zikoje?
please mwenye kufahamu hili anijuze.
Nauliza jinsi ya kuandika barua na vitu vya kuambatanisha kwenda tcu kwa wale ambao walipata post mwaka jana lkn hawakuriport ili waweze kuomba mwaka huu
habari wanajamii.
mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa chuo kikuu cha kumbukumbu cha sebastian
kolowa memorial university (SEKOMU), nasoma bachelor of science in Eco-tourism and
Nature...
Ingeborg Syllm, kikongwe wa miaka 102, mzaliwa wa Ujerumani mwenye asili ya Kiyahudi avunja rekodi kwa kuwa mtu Mzee zaidi Ujerumani, na pengine ulimwenguni,kuwahi kutunukiwa shahada ya uzamivu...
Hizi ni baadhi za vyuo vya Marekani vinavyotangaza kutoa scholarship kwa wanafunzi wa kigeni.
American University Scholarships
American University (AU) awards a limited number of generous...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.