Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

selection ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa mwaka 2015,ni dhahiri kwamba zitatoka wiki tatu kabla ya kufunguliwa kwa shule kwa muhula wa pili,chanzo cha tetesi hii ni...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Nimemaliza form six mwaka huu natarajia kuingia elimu ya juu. Napenda sana kuwa mwanauchumi, katika tafiti zangu nimekutana na degree hizi. 1. BA In economics UDSM 2. BSc. Agricultural Economics...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Habari wana JF kuna dogo langu kamaliza mwaka jana na matokeo yake yakaja, hivi ana credit 2 alafu ana e mbili. Msaada wa kimawazo anaweza pata chuo gani ambacho kinatoa ajira kwa haraka kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hongereni tena wakuu maana mtandao wa www.policetz.go.tz umetoa maelekezo na majina yenu hongereni saana ila msisahau masharti na kanuni kila heri. Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014 na...
0 Reactions
22 Replies
17K Views
naomben mnisaidie ....kujua kuna utaratibu gani wa kufuataa wakati wa kuomba mkopo kwa sie tulimazma form six mwaka jana baada ya kukosa ...sikwenda kulpoti chuo ....
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ovyo: Wale mnaweka namba za simu na email humu, kuna watu wanapiga simu wanadai wao ni tamisemi au mfanyakazi wa tamisemi dodoma kisha anasema yupo hapo kukusaidia. Kuwa makini waepuke hawa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wakuu. Nina ndugu yangu anatafuta shule za Cambridge ambazo zinafanya mitihani ya nje. Mwenye ufahamu wa hizo shule zaidi ya ALMUNTAZIR na MZIZIMA hajazipenda.Mwenye kujua zingine ambazo...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
1.Je,MUM wanatoa "Bachelor of science with education for geography & biology? 2.Nijuzeni kuhusu campus,je first year wanaruhusiwa kupanga chumba OUT OF University Campus?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Msaada wa kuanzisha engish medium ya chekechea. Anaejua tafadhali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ninaomba kupata mawasiliano ya mwl mkuu wa kwimba primary au mwl aminiel msuya anayejua jinsi ya kumpata
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habar zenu; nilipomaliza form six sikuenda kuchukua cheti changu; sasa yapata miaka miwili toka nimalize chuo; naona Kama ntakihitaji kwa haraka na sasa Niko mbali na mkoa huo; je kunataratibu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau naomba kujuzwa kuhusu ubora wa masters degree zinazotolewa chuo cha uhasibu Arusha. Nahitaji kusoma MBA- PSM lakini napata mashaka na soko lake la ajira kwani sijawahi kuona masters degree...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wanajukwaa nawasalimu kwa iman zenu. nimeshangaa sana leo nilipokutana na mwalimu wa cheti ktk mazungumzo nijikuta namuuliza "hivi tanganyika ilikuwa jamhuri tangu lini?" majibu yake yakawa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu mi ni mhitimu wa kidato cha sita. Nimeshndwa kwenda kwenye kambi nliyopangiwa kutokana na hali ngumu ya kimaisha, najsomesha hapa nlikuwa natafuta hela ya kuomba mkopo. Bado wazazi wangu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
WANAFUNZI CHUO KIKUU ST.JOSEPH ARUSHA WAWEKA MGOMO Wanafunzi wa chuo kikuu cha ST.JOSEPH kilichopo Kisongo mkoani Arusha wameitaka serikali kutoa tamko kwa chuo hicho kwamba ni cha halali ama sio...
0 Reactions
61 Replies
9K Views
Ni mara yangu ya kwanza kufanya interview. Niliomba nafasi ya kujiunga na masoma kwa mwaka wa masomo 2015/2016 katika Chuo Cha Sanaa na Muziki Bagamoyo ambapo jana nimetumiwa sms kuwa nataarifiwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeamua kuandika hili jambo muone ni jinsi gani wanavyuo tunavyo nyanyaswa na kulazimishwa kulipa malipo ambayo hayako uniform kwa maana kwamba badhi ya vyuo kama SUA, MKWAWA, UDSM na vingne...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
swala langu nikuhusu special program ya diploma walimu wa sayansi and mathematics Dodoma .je nivigezo vipi wanaviangalia ,halafu je mwaka huu watachukua ? nani kuanzia mwezi wangapi maombi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Why does the evolutionists don't want to participate in debates where evolution is pitted against intelligent design? And, it's very hard for us to have their side presented in a debate. I...
0 Reactions
219 Replies
19K Views
Habari wakuu. Nasikitika kusema nimepoteza Cheti Changu Cha Form 4. Cheti hiko kimepotea pamoja na vyeti vingine ambavyo nilimpa bibi yangu anitunzie kwa kipindi hiki ambacho bado naendelea na...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Back
Top Bottom