Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wadau wa JF kuna hili la usajili wa wanafunzi katika mfumo wa TCU 1. Hivi deadline ya kujisajili kwa form 6 waliomaliza 2015 ni lini? maana kwenye tangazo naona ile ya wale wa kurudi 2014 2...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msaada, Msaada, Msaada Ni kuhusu mada gani ni muhimu kusoma kwenye somo la History Advance?
0 Reactions
23 Replies
11K Views
Naomba kuuliza wadau,hivi hakuna taasisi nyingine za kutoa mikopo ya elimuya juu kwa vijana zaidi ya hii bodi ya mikopo ya elimu ya juu?,kwa masharti yanayolingana na yale ya hii bodi ya mikopo?
0 Reactions
0 Replies
862 Views
ndugu naomba kufahamishwa hivi ratiba ya usajili wa veta na kuanza masomo ni mmoja kwa mikoa yote Na kama ndiyo je usajili unafanyika miezi ipi na wanaanza kusoma lini?? naomba kujuzwa wadau
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu wewe ni kijana wa kitanzania mwenye ndoto ya kusoma nje ya nchi? umemaliza kidato cha sita na unataka kujiunga na elimu ya juu nje ya nchi? umemaliza form four ila unataka kusoma...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
HAYA NDO MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO 2014/2015 Wasichana Wote ====> herufi A mpaka Z http://www.pmoralg.go.tz/menu-data/adverts/form-five-selection-2014/WASICHANA-SHULE-ZOTE.pdf...
13 Reactions
288 Replies
445K Views
Nimesoma hiki kitabu kipya cha TCU mwaka 2015 na nimeona kitu fulani ambacho sikuwahi kukiona kabla kuwa sasa mtu kozi hizo tajwa hapo juu kwa lever ya degree ni kwamba atatakiwa na angalau pass...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jaman wadau wa JF poleni na majukumu, naomba mnijuze kama chuo cha HIGHLANDS kilichopo Njombe, Je, kimesajiliwa na NACTE
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wilaya ya Mbozi wananchi tunaonewa sana, Sehemu nyingine hawachangii Mwenge lakini sisi tunalazimishwa. Agizo kutoka Halmashauri ya Wilaya, ni kuwa kila Mwalimu achangie Elfu tatu (30,00) Kwaajili...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi hii serikali yetu inajali sekta ya elimu kweli,yapo mengi lakini kwa leo nazungumzia kuhusu SELECTIONs ZA WADOGO ZETU Wanaotarajia kuingia kidato cha 5 Julai mwaka huu.Yaani hadi leo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani wandugu nisaidieni mawazo nimemaliza form six 2008 na kupata E mbili na S,Nikaenda diploma nikapata GPA ya 2.7 sasa nataka kwenda chuo nitumie cheti kipi?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
MTU NI AFYA"thibitisha kauli hii kwa mifano kuntu,swali linataka nini wakuu
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada wenu wa vyuo vinavyotoa Advance Diploma katika taaluma yoyote ambavyo vimesajiliwa na NACTE na muda wa kozi wanazotoa. Nitafurahi kama mtanitajia vilivyo katika mkoa wa Dsm
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Msaada jamani ndugu yangu leo alikua anafanya application kwaajili ya chuo but alipoanza kujaza ile form ile kataaa kwani wamedai alisha wahi kuomba vyuo.Kulipia amesha lipia na chuo aliomba kweli...
0 Reactions
2 Replies
966 Views
Habari, Mie ni mdaiwa wa bodi ya mkopo nilikua naomba kupata maelekezo kuhusu upigaji upya wa mahesabu wa tunaodaiwa na Loan Board, kiukweli nilipata shida sana ambapo siku ya alhamis nilifika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari ndugu zangu, nimemaliza chuo kikuu mzumbe so niko ktk michakato ya kutafuta scholarship ulaya, hasa Norway ma France. naomba msaada kwa yeyote mwenye knowledge na hivi vitu, je GPA...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi ni muajiriwa na nina miaka kadhaa kazini napenda sana kwenda JKT nifanyeje?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi ni Mdau wa Elimu manispaa ya Ilala.Tupo watu watatu tupo ktk mkakati wa kuanzisha kambi ya wanafunzi kidato cha NNE wanaojiandaa na mitihani mwezi November tunataka kuwaweka vijana top ten...
0 Reactions
3 Replies
794 Views
This program is our flagship summer program aimed at providing participants with specialized knowledge in business management and entrepreneurship. It is directed towards those who are new to...
0 Reactions
4 Replies
921 Views
Back
Top Bottom