Habari Wana Jamvi.
Naombeni Mnishauri Nipangeje kozi Zangu Ili Nifanikiwe Kuinasa Medicine.
Mpangilio Nilio Upanga Uko Kama Ifuatavyo
>Kairuki
>IMTU
>Kampala
UfaUlu Wangu Ni Division Three
Phy...
ADVANCED MICROSOFT EXCEL TRAINING IN DSM :- June 27&28
Do you aspire to become more Competitive in your work? The Global Business Consulting (GBC) is a solution to your career aspiration in terms...
Kwa wale walio pata udahili mwaka wa masomo 2014/2015 na wakashindwa kufika kulingana na sababu moja ama nyingine mwaka huu TCU imetia ngumu kuomba kudahiliwa mara ya pili.
Habari zenu?
Samahani kwa yeyote anaejua kiasi cha ada kwa postgraduate ya education na muda wa kuanza kwa kozi katika chuo chochote hapa Tanzania anisaidie.
Ahsanteni!
Habari za muda wakuu!
Kama inavyofahamika kuwa chuo kikuu cha Dar es salaam ni miongoni mwa vyuo vikuu vikongwe hapa Afrika Mashariki na pengine Afrika,hivyo miundombinu yake ya kukidhi mahitaji...
Ndugu watanzania kwa wale ambao mlikuwa mnafikiria kujiunga na chuo kikuu cha Kampala international university ni bora uondoe hayo mawazo maana mimi ni mwanafunzi wa hiko chuo. Hiki chuo kwanza...
Hii ni baada ya wanafunzi wa kozi za afya kufanya mgomo uliodumu kwa siku 5, serikali yakiri kufanya uzembe ni baada ya kukutana na wanafunzi hao na kuwaomba kutulia kwa muda wa wiki mbili ambazo...
Wadau Udom walitoa tangazo lakutuma maombi ya diploma za sayansi kama vile diploma in pharmacy and Nursing pamoja diploma ya education. sasa ninapo jaza form za mkopo online kuna sehemu ya...
Now we can process admission for Fall 2015 just find me in skype alex.john.luketa in my number +15712449300 in this number you can get me in whatsapp,Tango,viber and also in my email alex@viu.edu...
Eti kuna tetesi kuwa muudo wa ukaguzi wa shule utabadilika kuanzia julai mosi,ukaguzi hatokuwa kwenye kanda tena bali ukaguzi utaanzia kwenye wilaya mpka kwenye kata,kutakuwa na wakaguzi wa shule...
Nimekutana na swali hili 'what are relation between public policy and democracy, naomba kwa yeyote mwenye uwezo wakunipa point zinazohusiana na hiyo anisaidie!
Rejea kichwa cha habari hapo juu, mm ni mwanafunzi mwaka wa tatu (sokoine university) nahitaji kufahamu uingiapo kazini loan board huwa wanakata kiasi gani kila mwezi na kwa miaka mingapi...
Ukianza kukifikilia chuo kikuu cha kampala international university unaweza ukaumwa kichwa kwa maana hawa waganda wanatak kuhalibu elimu ya Tanzania huku serikali yetu ikiangalia tuu, mfano first...
Kwa wale wanaotaka kujinga na elimu ya juu mwaka wa masomo 2015/16 kwa kozi za afya naomba niwape ushaur wa bureeee kwa ambaye atakuwa tayar ataufuata kama huamin nitakacho kisema jaribu kufatilia...
KUANZISHWA KWA FANI YA STASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA MSINGI
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Sebastian Kolowa - SEKOMU (zamani SEKUCo) kilichopo Lushoto, anakaribisha maombi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.