Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kiko mbioni kuanzisha Shule Kuu ya Udaktari kwa ajili ya kozi za utabibu. Hiyo itakuwa ni hatua ya kurejesha Shule ya Udaktari baada ya Muhimbili kuwa Chuo...
Vyuo 16 vimeshushwa hadhi na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kutokana na sababu mbalimbali na pia Vyuo vitatu vimefutiwa usajili.
Taarifa kamili itawajia muda mfupi ujao...
Waungwana.
Kuna mgogoro unaendelea hapa Chuoni kwetu (UoA) kuhusu Assuarance Fees toka kwa TCU.
Chuo kinataka kila mwanachuo alipe 20000/=Tshs kama agizo toka TCU lakini baadhi ya vyuo vimelipa...
kutokana na matokeo ya kidato cha nne mwaka 2013,wanafunzi waliopata daraja la kwanza hadi la tatu yaani(div.1-3) walikuwa 71,527,lakini walio bahatika kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa...
niko mbali na chuo nilichochaguliwa ila nimemuomba jamaa angu anisaidie, wamemwambia inabidi adownload form ya tcu, sijaelewa ni form ipi inatakiwa aidownlaod, anaefahamu naomba anielekeze ni form...
TAMKO LA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA KITIVO CHA ELIMU UDOM.
Kutokana na kubainika kwa ubadhilifu wa kutisha katika akaunti ya UDOSO kama itakavyo kuja kubainishwa hapo baadae katika ripoti rasmi...
Kilimanjaro Film Institute (KFI) will conduct the Master class course intensive one month at its compound in Arusha from 29th June -29th July.
It is our pleasure to invite you to register...
Heshima mbele wadau.
Naulizia voucher za TCU zinapatikana wapi ili niweze kufanya application ya chuo. Nimekwenda bank ya CRDB na NBC kuulizia nkaambiwa bado hazijaja.
Mwenye kufahamu sehemu...
Kwa wale wanajamvi wanaopenda kusoma kwa upana (widely)kama mimi nina habari njema.
Leo hii katika pitapita yangu nimejikuta nikipita KASE Bookshop (Arusha) iliyopo jengo la KKKT ili kuona...
DO YOU KNOW HOW TO UTILIZE MS EXCEL FEATURES?
I confidently believe that most people will answer YES.
It is right always that people lie, but it is more likely that they just don't appreciate...
Kwa wale walioomba vyuo mwaka huu hebu chekini programme zenu for eligibility. Cheki kama uko eligible kwa kugonga link ya check for eligibility na kuvalidate proramme zenu. Kuondoa usumbufu wa...
Hawa hapa ni wanafunzi walio kuwa wamepangiwa vyuo kwa miaka ya nyuma na kwa sababu moja ama nyingine waliahilisha mwaka kwa wakati huo.hivyo kwa mwaka huu wakaomba kudahiliwa upya haya hapa...
Naomba uzoefu na stahiki ntakazozipata toka kwa mwajiri endapo ntaenda kusoma Uganda. Napenda kwenda kusoma shahada ya uzamili nchini Uganda kwa sababu yangu binafsi; zikiwemo 1. Gharama ndogo, 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.