Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

habar wana jf,juz nililipa pesa kwa mpesa leo ndo nikapata msg kutoka tcu,cha ajabu nimefanya self registration vizr nikaweza kulogin lkn nikiclick personal information inatiki kwenye set secret...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani nimemaliza Form IV mwaka 2013 nimepata Division 1 ya 15, nilianza A - Level Moshi Technical PCB mwaka jana July, ila ilipofika October niliumwa nikashindwa kuendelea. Mwaka huu nataka ni...
0 Reactions
27 Replies
10K Views
habar ya kazi wakubwa! ninaomba msaada wa kupata kitabu cha kufundishia mbwa wangu. maana nimeenda polisi kitengo cha mbwa bei ninayoambiwa nimechanganyikiwa. wananiambia laki tatu kwa miezi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wasalaam si kama nina pinga elimu la hasha! Lakini kwa upande wangu sioni sababu ya kwenda Chuo Kikuu ''haraka'' mara tu umalizapo kidato cha sita. Watu wengi huenda kwa kuiga bila kuwa na mpango...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
TANGAZO: YAHUSU UPATIKANAJI WA FEDHA ZA MAFUNZO KWA VITENDO (FIELD) Ndugu WanaUDSM, Serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(DARUSO) kupitia Wizara ya Mikopo imefatilia kwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimejikuta nachanganyika sana na jamii ya wasomi kuanzia kanisani, kwenye familia, kwenye mitandao mathalani JF, karibuni kila mtu ni graduate wakati mimi nimesoma tu elimu ya msingi na ufundi...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wadau kwa muda wa wiki sasa toka nitume maombi ya chuo kikuu. Mwanzoni walinitumia vocha na nimejisajili vizuri lakin baadh ya procedures sijamaliza, nimeishia kwenye set secret. Lakini toka...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Msaada wa kimawazo wakuu! Mimi nilikua mwanafunzi wa chuo kikuu lakini kutokana na sababu mbalimbali nilishindwa kuendelea na masomo hivyo ikanibidi niache kusoma. Juzi nikaanza mchakato mpya wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu kwa bajeti hii iliyopitishwa kuna ongezeko lolote la mishaharaa hususani katika kada ya ualimu..mwenye taarfa tujuzanee
0 Reactions
31 Replies
7K Views
naombeni msaada wenu wa mawazo wakuu... kipindi nikiwa o level nilipenda xana kuja kusoma cbg nikiwa advance then nije kusoma cz ya pharmacy hapo baadae nikiw chuo cha kusikitisha baada ya post...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ktk hatua za kufanya malipo ya maombia ya Mkopo HELSB kw M - Pesa, kumbukumbu ya Malipo ni ipi? Nimeambiwa ni 1 but kwa nn inagoma? Au kuna shida gani? Msaada tafadhali?
0 Reactions
16 Replies
10K Views
Undergraduate Degree Programs(Fees are payed per credit) -Agricultural Business $419 per credit -Anthropology $419 per credit -Fire and Emergency Services Administration $419 per...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba msaada jamani kuhusu kozi ya Project Planning and management je ni chuo kipi kinachotoa kozi hiyo hapa Tanzania,ktk ngazi ya diploma au degree.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nini sababu ya tatizo hili? Nani alaumiwe? Je ni TAMISEMI au halmashauri husika? Naombeni ufafanuzi.
1 Reactions
126 Replies
20K Views
Habari Wakuu,naomba Kujua Kwa Mtu Yeyote Anaejua Bodi Bnafsi Inayotoa Mikopo Kwa Elimu Ya Juu.Mimi Nipo Chuo Kikuu Mwaka Wa pili Hapa Tanzania Sikubahatika Kupata Mkopo Kutoka HESLB. asanten sana
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani Mimi nliahirisha masomo mwaka Jana nlipangiwa education UDOM. Ila sikufanya usajili wowote chuoni hapo baada ya wao kunambia nafasi za kozi za afya watu wameshafanya transfer wametosha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mm ni kijana ambaye npo chuo certificate semister 2 kozi ya uhasibu wakati npo semister 1 nilikua nasoma masomo 5 ambayo ni math,acc,business eng,office n computer ila kwa bahati nzuri niliperform...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu?! Nahitaji shule ya Primary iwe English medium. Pia nahitaji iliyopo maeneo ya Mbagala au karibu na huko. Mwenye naomba msaada hata wa jina na eneo. Natanguliza shukrani!!
0 Reactions
4 Replies
11K Views
Habarin wana JF, Nauliza kwa wale tuliozuiliwa kuomba chuo TCU kisa tulipata chuo miaka ya nyuma, wanataka tuandike barua na tuambatanishe confirmation letter, nauliza kwa walioomba Je hii barua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kufahamu tofauti kati ya Diploma na Ordinary Diploma! Je! Alafu mwenye Ordinary Diploma anaweza kuendelea na Chuo kikuu through ''direct entry''? Ni hilo tu wadau, msaada wenu plz!
0 Reactions
29 Replies
13K Views
Back
Top Bottom