Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jaman wana jf napenda kuulza kuba uwezkanao wowte wa bodi ya mkopo kwa wanafunzi kuongeza muda msaada tafadhar
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika gazeti la Mwananchi la leo, 30 Juni 2015, ukurasa wa 7, Baraza la Mitihani la Taifa limekanusha uvumi unaosambaa kwenye mitandao na ujumbe mfupi kuwa Ratiba ya Mitihani ya Kidato cha Nne...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Selection kidato cha tano mwaka huu ni div 2 na 1.Ni kweli?
0 Reactions
35 Replies
30K Views
Msaada kwa wale wenye ujuzi na maswala ya mikopo ya elimu ya juu, je kwa waombaji ambao wametuma fomu bila kutoa vivuli, watafanyaje pindi wakikosa mikopo kupata ushahidi kwamba waliomba?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi tangu juzi nimetuma pesa kupitia mpesa kwenda TCU na sms ya uthibitisho kutoka Vodacom ikaja kuwa ile pesa imeeenda TCU lakini sijatumiwa voucher number hadi leo kutoka TCU. Nnimewapigia...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
  • Closed
Tunataka kujua post zinatoka lini tumechoka kukaa nyumbani Ni mwezi wa tano sasa umetia hatuoni dalili zozote au fununu kuhusu post za kidato cha tano, kwa kweli serikali ituonee huruma huku...
5 Reactions
869 Replies
431K Views
Za leo wakuu! Hivi mwisho wa kuomba vyuo (admission) ni lini, hasa sisi tunaotakiwa tupeleke clearance letter TCU ili tuweze kuomba kwa mara ya pili!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari zenu wa kuu, Mimi ni mwanafunzi wa first year bachelor degree in Water resources Engineering, chuo Water development and management institute. natafuta field popote penye mradi/project ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
hivi jamaani nisaidieni, unapotest hizo sukari kipi inashauriwa uanze? au ni vyovyote tu upendavyo. pia ukitest reducing sugar (glucose) ukaiona na umepewa reagents za kutest pia non reducing...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau nilileta swala la yule kijana aliyepata tatizo la kulogin kwa Mpesa ID kwenye form ya kuomba mkopo HESLB.Alikuja hapa Dar na kufikia kwangu ili afuatilie ofisini kwao. Binafsi nilipigana...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
WaKUU,, NINI TOFAUTI YA HIZI DEGREE KOZI? NA JE, UNAKUJA KUWA NANI UKISOMA SOFTWARE ENGENEERING AU COMPUTER ENGENEERNG
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau, Mimi nilihitimu kidato cha sita mwaka jana,sasa kabla sijafanya aplctns nikalipa hela TCU kwa M-pesa na ikaenda na TCU wakanitumia voucher. Baada ya kuanza kulipitia lile book la...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwanini Rais humteua Chief Justice ila hawezi kumfukuza kazi? Ni nani mwenye uwezo wa kumfuta kazi Jaji Mkuu?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ni chuo kikongwe na chuo kinachotambulika kimataifa lakini chuo hiki nimekuwa na kasoro ktk eneo moja nalo ni kutokuwa na andiko la kitaaluma kwa shahada ya...
0 Reactions
74 Replies
7K Views
Majina ya batch two kwa wale waliomba kudahiliwa upya kwa mwaka wa masomo 2015/16 yanatoka lini maana mpaka sasa sijajuha msahada wenu. Maana na mie mhanga wa hlo tatizo maana na barua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wenzangu, naomba kujuzwa jinsi ya kufahamu kama chuo kimesajiliwa na NACTE au hamna. Kuna chuo kinataka kutoa diploma ya elimu kinaitwa King Rumanyika kiko Bukoba. Naomba kujua kama kina...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
WAPINZANI HAWANA NIA YA DHATI YA KUSHIKA DOLA. Vyama vya upinzani bado havijawa na nia ya dhati ya kushika dola ya nchi hii. Vyama hivi vinakosa sifa ya kuwa na nia ya dhati ya kushika dola...
0 Reactions
0 Replies
742 Views
Mambo vipi wadau! Natafuta CPA review class ambayo ipo wilaya ya kinondoni eneo lolote lisizidi ubungo, Tegeta na Moroko ili niweze kusoma kwakuwa itakuwa karibu na eneo nililopo kikazi. Msaada...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Jamani Norway kuna scholarship 800 for 2016 Bachelors,Master na Phd. ni kwa ajili ya nchi zinazoendelea. please apply if are interested or pass along to those who are interested. Bonyeza link...
1 Reactions
4 Replies
6K Views
habar wana jf,juz nililipa pesa kwa mpesa leo ndo nikapata msg kutoka tcu,cha ajabu nimefanya self registration vizr nikaweza kulogin lkn nikiclick additional details inatiki kwenye set secret...
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Back
Top Bottom