Natanguliza salaam!
Ndugu wana janvi naomba msaada wenu kwa hili! NIMEPANGIWA NYANDUGA HGL combination.
Je naweza kuripoti kisha nibadiri comb ili nisome PCB na kama haiwezekani naweza kuhama...
the most beneficial Methods to Discover Language In a Non-English Land
Even in places by which English just isn't the primary terminology, it is very important find out English for assorted...
Tarehe 30/6/2015 ilikuwa ndio mwisho wa kukabidhi maabara baada ya muda kubadilishwa zaidi ya mara 1, kwa visingizio kibao. Kiukweli lengo lilikuwa zuri pamoja na kupitia ujenzi huu kuna watu...
Salaam wanaJF. Naoma nielezee histori fupi ya hiki chuo. Baada ya kuona kuna chuo kikuu kimoja tu,Mwalimu alitoa wazo la kujengwa kingine. Wapambe wakaanza kumshauri Mwalimu mkoa ambapo chuo icho...
Ndg, Tumeona Wanafunz Wng Ambao Wamepangwa Comb Siyo Na Baadh Yao Kupelekwa Shule Za Jinsia Tofauti! Nin Maon Yako Au Unahis Serikar Itawasaidiaje Hawa Wanafunz Kwasabab Zimebak Wiki Mbil Tu...
Tafadhali wakuu kwa anefahamu shule ya advance comb ya CBG ya boarding ya ada chini ya milioni 2 kwani mdogo wangu anataka kuendelea na advance ana ufaulu wa merit, katka masomo yake ana D 1 tu...
Serikali iko mbioni kuvifungia vyuo hvo kutokana na kukosa mitaara na wataalam wakufundisha vyuo hvo.....je mda wote TCU ilikuwa wap had watu wanaliwa pesa zao na inakuwaje tcu wanapeleka...
Inakuwaje mtu anachaguliwa HKL akiwa na A ya physics B+ ya biology na B+ ya Chemistry wakati huo huo ana D ya history.
Pia Kuna wavulana wamepelekwa shule za girls.
Kwa ujumla hizi selection...
Akiongea na vyombo vya habari mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi wa wanafunzi wanaosona ktk chuo kikuu kishiriki cha kimataifa cha Kampala bwana Jumma Mwaipopo amesema; Wamachoka kuzungushiwa watoto...
Shule inatangaza nafasi za kujiunga kidato cha 5 na kuhamia kidato cha 6; mwaka 2015/16;
Shule ni mchanganyiko
Kutwa na bweni
IPO mbeya MJINI
Michepuo: HGE,HGL,HGK,HKL &EGM
ADA nafuu
Sifa...
Nimehitimu kidato cha NNE na nine faulu vizuru masomo ya sayansi focus yangu ni kusoma C.O lakin sijui jinsi kujiunga na hiyo koz plz wana janvi naombeni msada wenu
Kati ya nyakati za huzuni kwa wadogo wetu na wazazi wao ni muda huu ambapo wamesubiri sana kwa muda mrefu hizi post kwa hamu kubwa lakini sasa ni majonzi kwani wengi wao walitaraji kupata hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.