Wadau ni vitabu vipi vizur ambavyo vinatumiwa sana na wanafunz wa kidato cha tano vya masomo ya physics,chemistry,puremathematics na general studies ...ukitaja kitabu taja na mtunz au publisher
wadau UDOM wanategemea kuanzisha course ya renewable energy engineering mwaka huu kwa ngazi ya degree na diploma,hivi soko lake kwa ujumla?na sehemu gan sana kuajiriwa?
Huu uzi ni special kwa wanaUDSM wote wanaotarajiwa kuanza field tarehe 13 July na mpaka sasa hakuna uhakika wa kupata hela za kujikimu. Najua viongozi wa Daruso mmetuahidi mengi lakini jana Chuo...
Jameni wana JF, naombeni mnisaidie kujua vyuo vya kilimo vya serikali kwa mtu wa Form Four na process za kujiunga ni lini wanapokea maombi na application forms zinapatikanaje!
Please Assist guyz.
Naomba Kujuzwa Kama Results Slip Ni Ya Lazima Wakati Wa Kuripot Shule Uliyopangiwa Maana Mpaka Sasa Sion Mwelekeo Wa Kupata Joining Instruction Na Kwa Sasa Nipo Mbali Na Shule Niliyosomea
Kama...
Habari Wakulu
Mimi ni kijana mtanzania,nimehitimu shahada yangu ya kwanza BAED (linguistics and literature) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Niko hapa nikiomba kwa yeyote mwenye uwezo wa...
Wanajamvi naomba kufahamu kama kuna uwezekano wa kujiunga na chuo (Ngazi ya cheti ugavi) Mimi ni muajiriwa kwa mda mrefu kidogo serikalini(Elimu yangu ni form 4,dvsn 4 ya 32 mwaka 2005 nimefauru...
Kuna kijana kamaliza masomo shahada ya kwanza chuo kikuu cha dodoma anahitaji ajira popote pale ndani ya tanzania. Ni mzoefu na mwadirifu wa kazi. Kama unahitaji ni pm nikuunganishe nae.angalizo...
Nauliza ukiwa unaadd programm ikimaliza kuweka programm zote kwenye selection mbona hamna sehem ya kusubmitt application,au ukimaliza inakuwa automatically submottred,naomba kujuzwa plseeeed......
Wakuu mdogo wangu amepoteza result slip yake na tunategemea atakwenda chuo na kule itatakiwa, nauliza kuna utaratibu gani wa kupata nyengine. Dogo alisoma Bukoba na sisi tupo Zanzibar kwa saa hivi?
Waungwana nisaidieni nini nafasi za Advanced Diploma tunapokwenda katika soko la ajira la Afrika mashariki.
Je Advanced Diploma ni sawasawa na digeree ya kwanza, je ni mfumo kutoka nchi gani...
Wadau nina mdogo wangu ana diploma ya JOURNALISM sasa ameniambia anataka kupiga short cut aende ADVANCE DIPLOMA kisha apige POST GRADUATE je naomben tuangalie namna ya kumshaur huyu dogo
ushaur...
Mimi ninasoma stashashada (diploma) ya mifugo katika chuo fulani mkoani Dodoma, mapema mwezi uliopita kulitokea mgomo hapa hali iliyopolekea kufungwa kwa chuo kwa kipindi cha wiki mbili, wakati wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.