Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wana wa JF naomba mnijuze muda au tarehe ambapo TAMISEMI hutoa majina ya watumishi walioomba vibali vya kubadilishana vituo vya kazi hususa ni kwa wale tuliomaliza mchakato toka mwezi wa sita...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Any school having vacancies in the subjects namely Biology, Chemistry and Physics ,,..... Am form six leaver of 2015 I want to teach in those respective fields. Thanks
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwenye uzi huu tegemea kujifunza mambo makubwa kuhusu psychological Mind of human behaviour Ningependa watu wachague mada za kuanza nazo then tutazitolea ufafanuzi - psychological mind of...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimechaguliwa kwenda kwenye Usaili kujiunga na jeshi la polisi form 4"2014" Kichwan Aidia yoyote .Anaejua Anisaidie pa kuanzia.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nauliza ktk vyuo tajwa hapo juu kipi kina competition zaid ktk fan za civil na electr engneering mi ni form six leaver nimemaliza 2010 pcm nataka niombe mwaka huu,maana ufaulu wangu ni wakawaida...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI HALMASHAURI YA BUSOKELO, SHULE YA SEKONDARI LUFILYO, S.L.P 362, TUKUYU. SIMU NA. 0784424024 / 0767119911. Kumb. Na. SSL/MNF/FV-14/………. Mzazi/Mlezi wa...
4 Reactions
12 Replies
19K Views
jamani kwa wale wanaotokea gairo. morogoro naombeni mnisaidie mawasiliano ya shule ya GAIRO HIGH SCHOOL
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Habari zenu wana JF.Kwa mwanafunzi yoyote ambaye anasoma comb ya PGM tukutane hapa lengo ni kujuzana mambo mengi zaidi kuhusu comb hyo
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ningependa kujuzwa kuwa tunaishi nje ya dunia au ndani ya dunia.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni mhitim wa A'level PCB 2012, Hakufaulu vizuri alipata SSD, 2013 Alirisiti Chem, Bios, Pure Math akaachana na Physics alipata CDE. Je kwa matokeo hayo baada ya kuachana na Physics akiomba MD...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
kwa mwenye nayo ya f5 mwaka huu naomba unisaidie hapa
0 Reactions
0 Replies
5K Views
1,100,000,000,000,000/- BILA SHAKA hiyo 1 ya kwanza ikiondolewa inasomeka trilioni mia moja, sasa baada ya trilioni inafuata nini? Nilikuwa nafanya conversion fulani nimejikuta nakwama
0 Reactions
18 Replies
18K Views
Masada kwa aliee na taarifa juu ya majina kama yameshatika yaaani ya mwezi huku Wa saba.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
nimesoma pure art o level na advance, nikaomba kusoma MIFUGO mwaka 2009,kupitia KATIBU mkuu,nikapata nikasoma diploma in livestock production,nikaajiriwa 2012.Tatizo nataka nikasome Sua bachelor...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni mwanafunzi wa first year kutoka chuo kikuu cha Sebastian Kolowa Memorial University (SEKOMU) nasoma Bacherol of Special Need Education. It consists with one teaching subject and one specialist...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Napenda kuuliza vipi kuhusu vibali Maalumu vya kubadilisha vituo vya kazi toka TAMISEMI, vinatoka kwa batch nini? Maana naona mahimahi ya wale waliomba mwezi wa Tatu, vipi kuhusu wa mwezi wa Tano?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nataka kujiunga na Stashahada ya Maabara lakini Phy sijasoma nina Bios. C Chem..D English...C Kisw...C naombeni msaada wenu na kama mnakijua chuo kinachotoa kozi hiyo nitajienI.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Rais Jacob Kitunga wa serikali ya wanafunzi wa chuo kikukuu ya kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU) kutokana na waziri mkuu liziki mashambwa aka mulokole fake kuandika barua ya kujiuzulu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom