Niko Dodoma, nilimuomba ndugu yangu kunilipia NACTE, ila akawa amechelewa, nikaamua kulipia.
Kumbe muda huohuo akawa amenilipia. Nikawa nina namba mbili za 50,000, ile yake nimeitumia kufanya...
Msaada wakuu mwenye uelewa wa kozi inayotolewa na livestock training agency ya Animal health and production VIP kuhusu uwanja wake wa ajira na nimeona ni chuo kimoja ambacho kinatoa degree...
Habar wana jukwaa nina Diploma ya umeme je inawezekana kusoma Telecommunications au Information Technology Degree yani ntumie cheti cha diploma electrical ku apply degree kati ya hizo course...
Wadau salam mbele shule hizi za St. Mary's zimekuwa kama mtambo wa kuzalisha vijana wanaopenda mapenzi ya jinsia moja (Mashoga).
Pengine ni kutokana na namna lifestyle ya hapo shuleni kuwa...
Jaman ee hv ukitaka kusomea engnerng ya petroleum ni miaka mingapi? na kutoka adv nisome combi gan? na je mtu mwenye diplom anaweza kuajiriwa? naomben msahada wenu wanandugu
Habari,wanafunzi Waliochaguliwa Kidato Cha Tano Kwenda Shule Ya Minaki Wanaripoti Lini? Pia Naomba Namba Za Mwalimu Wa Shule Hiyo. Asanteni Sana Ataenisaidia.
Habar,kwa vijana mliochaguliwa Mwinyi high school(MKURANGA-PWANI) mnakaribishwa kwa Maswali.Ikiwemo vifaa mtakavyopenda kuja kukuta vinapatikana shule na kununulia hapo mtoe mapendekezo.
Ndugu zangu natumaini ni wazima mimi nasoma mwaka wa kwanza civil eng pale MUST. Natafuta sehemu ya kufanyia field practical kwani hadi sasa sijapata kila ninapoenda naambiwa wamejaaa hivyo kwa...
Habari wana JF, tunahitaji mwalimu wa masomo tajwa hapo juu. Awe na diploma au degree
Wasichana wanapewa kipaumbele.
Tuma CV yako kupitia prolim54@yahoo.com Au 0719419204
Mjulishe mwenye uzoefu...
Habari,
Kwa wale wote wanaotarajia kusoma Economics Commerce and Accountancy(ECA). Twisheni nzuri inapatikana kwa masomo hayo, kukuwezesha kukupa msingi mzuri wa kuweza kufaulu masomo yako vizuri...
Watanzania!
Kumekuwa na unyanyasaji mkubwa wamalipo na stahiki halali za wakufunzi.Tumeajiriwa sisi ni mwaka wa sita leo, mshahara unachelewa, tunafundisha muda wa ziada hatulipwi mpaka miezi 4...
Nimemaliza kidato cha nne 2014 nilifaulu kiasi, PHYS C, CHEM C, BIOLOGY B na Mathematics C. Nimechaguliwa PCM but nahitaji kusoma course ya medical officer chuo cha afya, mwenye kujua naomba...
Kama tittle inavyo someka,hawa wanachuo waliambiwa watapewa mkopo na wakatuma maombi online pia hard copies zikatumwa bodi ya mikopo, tangu mwezi wa pili kimya na hakuna taarifa yoyote..dah noma kweli
Nawasalim Kwa Imani Zenu
Kwa wenye uzoefu wa masomo ya sayansi msaada wenu tafadhari
Mi ni Mhitimu wa kidato cha sita mchepuo PCB na ufaulu wangu ni div three ya point 13.Ph.D,che Na Bio C...
Wana Jamvi,
Kama kuna mtu anaifahamu shule hii na oia jinsi ya kupata joining instruction kwa wasichana wanaokwenda Form V , naomba msaada. Au kama kuna namba ya Mwalimu mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.